Kuhusu Zaha, sioni kama anaweza kuufikia uwezo wa Pepé hata kidogo..
Umeuona moto aliouwasha Pepé baada ya kuingia sub dhidi ya Sheffield?
Huyu Ozil ingekuwa ni kura nadhani fans wote wange vote against his favor.Ozil to be left out of the official Premier League squad?
Arsenal have to exclude 2 senior non home grown players...surely he has to be one? #arsenal #afc
SwadaktaPepe ni bonge ya player, skills zake kwa pale Epl sioni wa kumfananisha naye, bado vitu vichache hajakaa sawa ila kwa Arteta ni suala la muda tu.
Watu wanamsakama sana, labda ni ile price tag yake na pia tulikuwa na matarajio makubwa sana juu yake. Kwa msimu wa kwanza tena chini ya Emery stats zake bado ni za kuvutia sana, vijana wanasemaga "tuendelee kupiga mtori, nyama zipo chini"
Kama huu msimu tungekuwa na Ramsey naona kabisa katika idara ya kiungo tungekua imara Mara mbili yake,
Partey ni mtu na nusu atatusaidia sana katika kukata umeme pale Kati,Ni wakati sasa wa ceballos na xhaka kutuonyesha ubunifu wao pale Kati,
Saka napenda kumuona akipata mechi nyingi ili azidi kupata uzoefu zaidi ila unfortunately nitakua namuona kwenye carabao na FA maana mfumo utakua haumpi priority ya kucheza mechi nyingi za league.
Contracts set to expire summer 2021:
Ozil 350,000 per week
Luiz 101,000 pw
Sokratis 92,000 pw
Mustafi 90,000 pw
Total wage saving approx 633,000 pw, 32,916,000 pa
Summer 2022 (if we don't sell before expiry):
Laca 182k
Kola 100k
Elneny 50k
Chambers 50k
Approx 19,864,000 pa
#afc
Hiki kimependekezwa nadhani kiko poa sana hata Liver na City tunapambana nao kwa 4-3-3 bila shida na wakikaa vibaya wanachakaa.kwa ujio wa partey em kikosi gani kitafaa kuanzanacho kweny big mech
Sent from my Nokia 2 using JamiiForums mobile app
Jibu lipo comment #70.kwa ujio wa partey em kikosi gani kitafaa kuanzanacho kweny big mech
Sent from my Nokia 2 using JamiiForums mobile app
Naona ni timu kali kwa sababu Willian na Pepe wote ni wapiga chenga ingawa Auba siyo mchengaji sana ila si haba anauwezo. Kama Ceballos atakuwa anaweza kucheza pasi za upesi upesi za ki tiki taka ningependa kuona tukiimarika zaidi kwa kushambulia kati kati ya eneo la 18 kuliko kutegemea sana full back kuoverlap na kupiga cross maana naona timu zimetuzoea kuwashambulia kwa pembeni. Turudi enzi za kina Fabregas, Pires, Rosicky, Henry, Bergkamp...yaani quick passes na through balls mara paap mtu amejikuta na kipa na mabeki wanajiuliza tumepenyaje. Na kwa hii ningependa kuona ongezeko la wafungaji ili move ikiwa nzuri yeyete yule itayemkuta anaweza kumalizia. Hapo tutakuwa wagumu zaidi kukabwa. Tusitabirike.Hiki kimependekezwa nadhani kiko poa sana hata Liver na City tunapambana nao kwa 4-3-3 bila shida na wakikaa vibaya wanachakaa.View attachment 1592040
Hiki kimependekezwa nadhani kiko poa sana hata Liver na City tunapambana nao kwa 4-3-3 bila shida na wakikaa vibaya wanachakaa.View attachment 1592040
Ulichokisema ni sahihi 100%, hayo yalikuwa ni mapendekezo alitoa Aaron huko juu na sioni shida, bado unaweza kuwatwist Willian akawa false 9 au Lacca akaanza kama CF, Auba akatokea kushoto na kulia akacheza Willian/Pepe.kaka hatuwezi kupanga hivi timu
there is a genuine reason why AUBA anacheza wing,
1.kumbuka ana more than 50 goals akiwa left wing - at least 20 goals per season nyingi aki curve nje ya box
2. mpira wetu tuna press na CF, ambae anakuwa part of front three DIAMOND (partly anakuwa kama false number 9) anakaba sanaa hawezi kupata goli 20 kwa msimu sahau
3. Tunatengeneza timu ya kucheza 4-3-3 system ambayo ni kama copy ya LIVERPOOL (magoli yanatokea wings)
4. Lacazette anatupa Balance sana kwenye timu, mara kadhaa AUBA kacheza CF ila ni watu wawili tofauti ikija issue ya PRESSING the opponents na HOLD UP play
wenger, emery, arteta wote sio wajinga kuanza nae wing tutakosa balance kbs akicheza CF anaweza kuwa BULLIED
Nadhani watu wali over-react tu. Arsenal si walisema ni mpaka mashabiki warudi?Arsenal wamejibu ,Hawajamfukuza kazi bali atarud mashabiki watakaporudi
Msemaji wa Arsenal anasema
“Gunnersaurus is not extinct and will return to action when fans are allowed back at matches.”View attachment 1592308
Ozil anatafuta huruma ya mashabikNadhani watu wali over-react tu. Arsenal si walisema ni mpaka mashabiki warudi?