Watupe Pulisic tuwape Guendouzi
Arsenal & Chelsea are in talks over a possibility a swap deal between Guendouzi & Kante, according to reports.Kama tungemtaka huyo mgunduzi tusingemtoa kwa mkopo Conor Callagher kwenda West Brom kwa maana uyo dogo ni mara 3 ya mgunduzi.
Wewe hata nilipokupa taarifa za Babu Thiago Silva ulibisha , baadae ukawa unamsafisha ni kijanaKama tungemtaka huyo mgunduzi tusingemtoa kwa mkopo Conor Callagher kwenda West Brom kwa maana uyo dogo ni mara 3 ya mgunduzi.
Arsenal & Chelsea are in talks over a possibility a swap deal between Guendouzi & Kante, according to reports.
Issue ya Thiago nilikubishia kwa sababu ulidanganya sisi tumepeleka offer na wakati agent wake ndio alitu offer sisi na siyo sisi kupeleka offer kwake.Wewe hata nilipokupa taarifa za Babu Thiago Silva ulibisha , baadae ukawa unamsafisha ni kijana
Subiri Guendouz aje , Utamsafisha kama Lowassa
Hatukuelewana tu , Mm.nilisema anakujaIssue ya Thiago nilikubishia kwa sababu ulidanganya sisi tumepeleka offer na wakati agent wake ndio alitu offer sisi na siyo sisi kupeleka offer kwake.
Kweli hakishindikani kitu ila siyo kwa Kante huyu wa sasa tunaomba msubiri misimu minne ijayo ndio mta qualify kumchukua
Kwenye usajiri hakishindikani kitu
Arsenal & Chelsea are in talks over a possibility a swap deal between Guendouzi & Kante, according to reports.
Hapa nashauri wala tusiongee saaaanaa. Tukamilishe deal. Au tujidai wajanja tuzugezuge kwanza waongeze na hela juu?
Tumchukue Kante Mapema sana. ... Hawa Chelsea wameshazoea kupigwa kwenye maadili ya Transfer... Tunawafanyia kama walivyofanyiwa kwa Kwappa Azziburiwagga
Kwakweli, upo kama MimiJapo nampenda sana Torreira ila acha aende vije Vyuma vingine
#COYG