Soon tutaitwa ArselecaoAccording to @David_Ornstein,
#Arsenal have agreed a deal to bring Brazilian medic Bruno Mazziotti to the club from PSG. He will join once the terms of his exit from PSG have been finalised.
Zaidi soma hapa
Ornstein: United won't sign centre-back, virus shouldn't stop football and moreView attachment 1575825
Hahaaa hata Arteta anawaza Kupigania makombe , kuna mashabiki bado wana mentality za Emery Kuitafuta top 4Duh!! Kweli mashabiki tuna attitudes tofauti,Yaani wakati wengine tunawaza kua mabingwa wengine Wana waza big 4,
DEAL GANI?Aisee kuna tetes zimeibuka kuna biashara ya Swap tunataka kufanya na Chelsea
#Arsenal and #Chelsea are exploring the possibility of doing business with one another. #IKN
Unakuta wao wanataka wamtoe Odoi tubadilishane na Willock..Aisee kuna tetes zimeibuka kuna biashara ya Swap tunataka kufanya na Chelsea
#Arsenal and #Chelsea are exploring the possibility of doing business with one another. #IKN
Yaan nahisi hivo ,Unakuta wao wanataka wamtoe Odoi tubadilishane na Willock..
Bado tetes tu,DEAL GANI?
Dah odoi kwa willockUnakuta wao wanataka wamtoe Odoi tubadilishane na Willock..
Wale hawashindwi kumtoa Odoi na pesa kidogo kwa akili ya Guendouz!Yaan nahisi hivo ,
Au huenda tukafanya nao Swap ya Guendouz na Odoi au watupe Arsenal fan mwenzetu Tammy
Most wanahisi hivo , watakuwa hawa hawa home grownUnakuta wao wanataka wamtoe Odoi tubadilishane na Willock..
Hahaaa halafu kweli ujueWale hawashindwi kumtoa Odoi na pesa kidogo kwa akili ya Guendouz!
Naona mnapiga na vingerezaaa kujikutaa maisha mmeyapatiaaa kumbe utopoloo fc
Kama tungemtaka huyo mgunduzi tusingemtoa kwa mkopo Conor Callagher kwenda West Brom kwa maana uyo dogo ni mara 3 ya mgunduzi.Wale hawashindwi kumtoa Odoi na pesa kidogo kwa akili ya Guendouz!