Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Yaani hadi Granit Xhaka anaonekana anafurahia kuucheza mpira pale katikati.

Hector beki wa Fulham anamuumiza Xhaka kwa kumkanya'ga.

But Xhaka is ok, lakini anatoka game laendelea.

Dakika yaenda ni ya 75

Nikolas Pepe anaingia.
 
Danny Ceballos anaingia kuweka sawa "situation".

Dakika yaenda ni ya 78
 
Fulham si kipimo sahihi cha ubora wa team yenu.
Mnaanzaga hivi hivi na kuona ubingwa huu hapa.πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Namuangalia sana Elneny. Kabadilika anacheza vizuri kati. Arteta kocha.

Kaambiwa agangamale awe chuma pale kati.

Hawa wachezaji hawana tatizo lolote ni kupata meneja ambae ni "no-nonsense", ukizingua wakaa bench kama Ozil.

Na hiyo haijalishi walipwa kiasi gani.
 
Naona Watford walioshuka daraja wameshinda mechi yao na Cathcart ... .... kama unakumbuka vizuri Watford ndio waliwafunga loser fools kwa mara ya kwanza msimu uliopita na kukwamisha matumaini yao ya kuwa Invincible .. .. ... khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Yaani hadi Granit Xhaka anaonekana anafurahia kuucheza mpira pale katikati.

Hector beki wa Fulham anamuumiza Xhaka kwa kumkanya'ga.

But Xhaka is ok, lakini anatoka game laendelea.

Dakika yaenda ni ya 75

Nikolas Pepe anaingia.
Huyu Hector refa amemuonea huruma ana yellow na amefanya rafu nyengine kwa Auba na Xhaka, red card ingemuhusu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…