Arsenal wanatawala mchezo kwa kutumia mabeki wake wa pembeni Tierney na Bellerin.
Hawa wanawafanya Fulham wawe wanarudi kwenye eneo lao.
Mkoba wetu mpya dos Santos Magalhaes au "Gabby" kasimama katikati nyuma na Elneny na Xhaka ndo wanatawala katikati mbele ya beki tatu ya Arsenal.