Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arteta on whether Laca has said that he wants to stay...

“Yes, I think he is very happy here. That is my feeling and what I got from that message.”

[@Arsenal]
 
Arteta on whether Laca has said that he wants to stay...

“Yes, I think he is very happy here. That is my feeling and what I got from that message.”

[@Arsenal]
 
Arteta on if Gabriel and Willian will start v Fulham:

They have been training really well. They have adapted quickly. They are really excited to be here with us, really good energy from both of them. Big talent, both in very different phases of their career.
 
Usajili Updates!

1. Aubameyang kutangazwa baadae leo amesaini mkataba mpya wa miaka 3.

2. Nahodha wa Lyon Houssem Aouar bado anahitajika Arsenal na Edu yupo anaendelea na mazungumzo na Mbrazil mwenzie mkurugenzi wa mpira wa Lyon Juninho.

Inatarajiwa Matteo Guendouzi ndie atakwenda Lyon kuongeza dau la kumsajili Aouar.

Tusubiri leo jioni kwa more updates.
 

Arteta sasa ni meneja wa kikosi cha kwanza na cheo hicho kimerudi baada ya kazi zake nzuri.

Hivyo sasa Arteta ni meneja wa Arsenal FC.

Arteta na Edu ndo vinara wa kuhakikisha Arsenal inajiendesha kwa ufanisi wakiwa na majukumu ya kufanya usajili na masuala mengine yote ya kikosi cha kwanza cha Arsenal.

Vinai Venkatesham sasa ni CEO badala ya Managing director.

NB: Mods please rekebisha Title ya Meneja Mikael Arteta.
 
Arteta on links with Aouar:


"I don't want to talk about players at other clubs that are not our players" #Arsenal
 
Cc. Moderator
 


Hawa ndo watu wanne watakaoendesha timu ya Arsenal, kuhakikisha inarudi kwenye champions League msimu ujao.

Afisa Mtendaji mkuu Vinai Venkatesham

Mkurugenzi wa Mpira Edu Gaspar

Meneja wa timu ya kwanza Mikael Arteta

Meneja wa Academy Per Mertesacker
 
Ila wakuu, timu ikiwa na kiungo cha Xhaka,Ceballos na Aouar kwa mfumo wa Arsenal inavyocheza hakika hutuwezi juta kutompata Partey, labda tu kama itatokea injury hasa kwa Xhaka au Ceballos.
 
Ila Arsenal tunahitaji squad depth kinyume chake tunafanya mauzauza.

Unamuuza Bellerin, unabakiwa na Niles na Cedric, mmoja akiumia mwingine fatique ikimshika? Au mwingine kaumia halafu mwingine akala red?

Tujiulize maswali hayo hayo kwa nafasi zingine ambazo Arsenal tumeambiwa watu watauzwa. Huyo Niles, Kolasinac, Lacazette, Torreira n.k.

Halafu naona kuna watu wanasema hatusajili mpaka tuuze ili kuikwepa financial fair play... Hebu fikiria upya..

Arsenal na City nani anatakiwa kuhofia financial fair play?

Arsenal na United nani anatakiwa kuhofia financial fair play?

City anataka wachezaji 5. Kashasajili low profile 4. Chelsea kashaspend zaidi ya 143M katika usajili... United kamnunua De Beek na mchezaji jina limenitoka.

Kiukweli kabisa Arsenal hatuna cha kutuzuia kusajili as kikosi ni chembamba na bado hatupo kwenye ukingo wa kuvunja financial fair play unless iwe ni kwamba klabu haina pesa..

Kinyume na hapo ni tunahitaji watu pale kati na pembeni na ikiwezekana bila kuuza mtu.
 
arsenal yetu ishakuwa kama ugiligili tuu. Yani inashindwa kutoa hela 60 kwa Aour na 50 kwa Partey inasubiria huruma?
sijui nani aliniambia niipende hii timu.
 
usiogope mkuu,namuona aouar anatua Gunners na UCL lazima next season,kesho tunamuua mtu mapema tu
 
Halafu naona kuna watu wanasema hatusajili mpaka tuuze ili kuikwepa financial fair play... Hebu fikiria upya..

Arsenal na City nani anatakiwa kuhofia financial fair play?

Arsenal na United nani anatakiwa kuhofia financial fair play?

Nadhani concept ya FFP rules ni kwamba unatakiwa kufanya matumizi ya fedha iliyotokana na faida iliyopata club na si vinginevyo.

Utakumbuka Arsenal walitangaza loss (sina exact figures) msimu huu baada ya covid-19 pandemic kinyume na hawa wenzetu.

Chelsea yeye ndio ana 'mzigo' wa kutosha kutokana na kutofanya usajili dirisha lililopita baada ya kufungiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…