Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,724
Sisi tunashinda tukiona Kombe hasa kwa Makipa wabovu kama KepaJuzi tumetoa draw na Briton yalibweka ..haya sasa yamepigwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tumewapa na Willian bado yanapigwa.
Bila Auba msaliti kumbe hii Arse8 ni takataka tuView attachment 1560326
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Kweli kama kule BAKU na babu sarri mlishinda KWA ushindi mnono na kepa alikuwa goliniSisi tunashinda tukiona Kombe hasa kwa Makipa wabovu kama Kepa
Tunashinda mech muhimu View attachment 1560345
Tuishi hapa kwanzaUnapiga ramli ? Unadhan tuna Pazia kepaView attachment 1560340
Kipepe ndiyo nini?Acheni uzwazwa 73+80 ya Kipepe unapata ngapi apo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Ulishaona Arteta anaacha kombe akiliona?Kweli kama kule BAKU na babu sarri mlishinda KWA ushindi mnono na kepa alikuwa golini
Ajira[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nani anataka kuwa mtumwa kama weweNdio maana nasema siku ukipata ajira utaacha kudanga ovyo
73+80 ni ngapi? Linganisha na iyo 121 ..tujue nani kapigwaKipepe ndiyo nini?
Juzi mmewapiga ngapi Brighton?Tuishi hapa kwanzaView attachment 1560350
Champion of Mashilingi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ulishaona Arteta anaacha kombe akiliona?
Tumewalamba juzi hapa , mnapata wapi nguvu za kuja humu
Mnajidanganya na huo usajiri ,subiri ground ndio mtajua kuwa hamjui
View attachment 1560354
Wewe umepigwa ngapi na AstonVillaJuzi mmewapiga ngapi Brighton?
Humu hutaki ?hahaaaaaTuishi hapa kwanzaView attachment 1560350
.Ajira[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nani anataka kuwa mtumwa kama wewe
View attachment 1560355
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Sijui. Vipi mmeshinda ngapi?
Sis tunashinda Final kwa kumkaanga chelwowo
Sasa nitalinganisha vipi wakati sijakuelewa. Kipepe ndiyo nini?73+80 ni ngapi? Linganisha na iyo 121 ..tujue nani kapigwa
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Huyo kijana ana stress za kazSasa nitalinganisha vipi wakati sijakuelewa. Kipepe ndiyo nini?
We humjui mchezaji wako comrade kipepe na hela yote ile kaishia kufunga goli 5 za ligiSasa nitalinganisha vipi wakati sijakuelewa. Kipepe ndiyo nini?
Twende nao hiviKweli kama kule BAKU na babu sarri mlishinda KWA ushindi mnono na kepa alikuwa golini
Wenzake tuna stress na hizo ishu lakini tunajikaza, yeye anatafuta wa kuja kusumbuana nao.Huyo kijana ana stress za kaz
Mwisho kabeba Mataji mawili wakati chelwowo 0We humjui mchezaji wako comrade kipepe na hela yote ile kaishia kufunga goli 5 za ligi