kila kitu duniani kina uzuri na ubaya wake. Yes we are selling players, lakini mbeleni naiona arsenal ya Wenger, ambayo ikifika December timu ilikuwa inayumba sana kama vile imepitiwa na tetemeko. hii ilikuwa ni kwa sababu kipindi hicho tulikuwa tunajikuta na majeruhi wengi wa 1st 11. Hatuna kikosi kipana chenye kuleta ushindani. Sasa tunakoelekea tutajikuta anatoka Aubamayeng anaingia Willock. ANM ndio alikuwa anaanza kuja kwenye form, pengine bila yeye fainali ya FA kombe lingekuwa Stamford Bridge.Torreira nitakukumbuka, sijuhi ni kwanini Joe Willock hajawekwa kwenye orodha ya wanaoondoka? Kwangu mimi Nketiah na Nelson still wanaonyesha dalili za ku-improve