Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
[emoji28][emoji28]wakikusikia utajutaPartey haendi Arsenal, Mark my words
Kwanza ana release clause, tena ndogo tu, halafu Arsenal wanaendekeza njaa wanataka discount [emoji23]
Nitakuja kufukua kaburi[emoji28][emoji28]wakikusikia utajuta
[emoji28][emoji28]wakikusikia utajuta
Hivi hii chapati imekimbilia wapi?Haya karibuni leo usiku by 10:00 AM litapigwa kabungu moja la mabingwa wa kihistoria na pia anayewawakilisha mashindano ya ulaya kwa sasa. Msikose kuja kuangalia pressing za hatari
Nimeipenda hii,From [emoji634] || Reports suggest that Napoli are in advanced negotiations, for Sokratis [via - @TuttoSport].
Huyu Nikola Maksimovic hapana, ni vema tukakomaa na Gabriel, au bora tubaki na Shkodran,Kuna mazungumzo yamefikia pazuri ya Sokratis Papastathopoulos kwenda Napoli na Nikola Maksimovic anaweza kuelekea England/Arsenal.
Kostas Manolas anamshawishi mchezaji mwenzake wa kimataifa kwenda Naples.
Source: (@tuttosport)
Nimeona haelekei Arsenal anaenda EvertonHuyu Nikola Maksimovic hapana, ni vema tukakomaa na Gabriel, au bora tubaki na Shkodran,