Huyu Aouar thamani yake inapanda kila dakika huko sokoni, tatizo kamari zinazochezwa ktk usajili ndio hizi zitakuwa zinakula kwetu,
Maana Coutnho alikuwa hahitajiki ila tumerembaremba mpaka sasa Koeman amemweka ktk plan zake,
Aouar alikuwa na thamani ya 90m,.....