Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Kutoka @TheAthleticUK.
- Mkataba wa Willian ulitiwa saini katika nyumba ya Kia Jorabchian na sio makao makuu ya Arsenal
- Raul ndiye pekee aliyekuwa anaongoza mazungumzo ya mkataba mpya wa Aubameyang ... na pia alikuwa anaongoza mazungumzo na Gabriel Magalhaes na Thomas Partey ...
Lakini inatarajiwa kwamba Edu atayamalizia vizuri na kwa mafanikio.
Auba contract
Gabriel Magalhaes 90%
Partey loading.......
Huyo Gabriel nimetoka kumcheki YouTube, ameniridhisha kwa kweli.. Yani anapenda sana kukaba na ni mzuri wa kuanzisha mashambulizi.Usajili Updates: Aubameyang kusaini na mkoba Gabriel Magalhaes pia kusaini.
Mshambuliaji wa Arsenal Pierre-Emerick Aubameyang anatarajiwa kusaini mkataba uloboreshwa wa miaka 3 wiki hii ambapo atalipwa kiasi cha pauni 250,000 kwa wiki.
Pia habari kutoka Ufaransa kwenye klabu ya Lille zinasema kuwa Lille wamekubali offer ya Arsenal ya Euro milioni 30 za Arsenal kumsajili beki wa kati kutoka Brazil Gabriel dos Santos Magalhaes.
Man Utd, Everton na Napoli wote wamekuwa wakimfuatilia Gabby lakini ushawishi wa Edu unasaidia sana usajili wanaofanya Arsenal.
Everton waliweka Euro milioni 20 ambazo Lille wamekataa halikadhalika Man Utd nao waliweka Euro Milioni 25.
Huu ndo wakati wa Arsenal kufanya usajili wa maana na wa kueleweka.
Arsenal ikitangaza usajili wa Aubameyang na Gabby mwenye umri wa miaka 22 basi ntaongeza idadi ya jezi nilizo nazo pamoja na jezi ya mazoezi.
Yajayo yanafurahisha.
Wapi wamachama mwenzetu Balantanda??
Rudi nyumbani mkuu.
COYGs
Huyo Gabriel nimetoka kumcheki YouTube, ameniridhisha kwa kweli.. Yani anapenda sana kukaba na ni mzuri wa kuanzisha mashambulizi.
Pia kutokana na kutumia mguu wa kushoto inampa nafasi kocha ya kumpanga hata LB endapo kutatokea majeraha kwenye kikosi katika eneo la LB. Na anakamua kweli! Tackling kwake ni jambo la kawaida tu.
Kwenye modern football ambapo hutumia inverted wingers (winger wa kushoto anayetumia mguu wa kulia na wa kulia anayetumia mguu wa kushoto) inabidi uwe na central defenders ambao mmoja ni left footed na mwingine ni right footed ili waweze kunavigate wakati wa kukaba.Na Arteta amemtaka Gabby kwa sababu anatumia pia mguu wa kushoto.
Upo sahihi kabisaKwenye modern football ambapo hutumia inverted wingers (winger wa kushoto anayetumia mguu wa kulia na wa kulia anayetumia mguu wa kushoto) inabidi uwe na central defenders ambao mmoja ni left footed na mwingine ni right footed ili waweze kunavigate wakati wa kukaba.
Utakumbuka mechi ya semi final FA against City Arteta alimpeleka Niles (ambaye ni right footed) kucheza full back left ili kumkabili Mahrez aliyekuwa akisumbua akitokea wing ya kulia na baada ya pale alitulizwa. Pia alimtaka Pablo Mari kwa sababu hizo hizo (left footed CB).
Hapa Auba Laca Pepe
London is BlueHapa Auba Laca Pepe
Nyuma willian Partey na xhaka
Kocha Arteta
Ollachuga Oc utajipiga ban za kutosha kuanzia tarehe 12
Mwambie arudi nyumbani kumenoga!!Usajili Updates: Aubameyang kusaini na mkoba Gabriel Magalhaes pia kusaini.
Mshambuliaji wa Arsenal Pierre-Emerick Aubameyang anatarajiwa kusaini mkataba uloboreshwa wa miaka 3 wiki hii ambapo atalipwa kiasi cha pauni 250,000 kwa wiki.
Pia habari kutoka Ufaransa kwenye klabu ya Lille zinasema kuwa Lille wamekubali offer ya Arsenal ya Euro milioni 30 za Arsenal kumsajili beki wa kati kutoka Brazil Gabriel dos Santos Magalhaes.
Man Utd, Everton na Napoli wote wamekuwa wakimfuatilia Gabby lakini ushawishi wa Edu unasaidia sana usajili wanaofanya Arsenal.
Everton waliweka Euro milioni 20 ambazo Lille wamekataa halikadhalika Man Utd nao waliweka Euro Milioni 25.
Huu ndo wakati wa Arsenal kufanya usajili wa maana na wa kueleweka.
Arsenal ikitangaza usajili wa Aubameyang na Gabby mwenye umri wa miaka 22 basi ntaongeza idadi ya jezi nilizo nazo pamoja na jezi ya mazoezi.
Yajayo yanafurahisha.
Wapi wamachama mwenzetu Balantanda??
Rudi nyumbani mkuu.
COYGs
Yah tutegemee tuone Arsenal ikichangamka msimu ujao..siyo hii ya kushangilia Auba kuongeza mkataba..
Tayari nishamleta willian. ..
Wewe kaa hapa uhesabu
Auba tayari nimeshambakisha
Nasema msimu ujao mtaimba sana