dawa ni kuvunja hiyo record ya porto ya kutokufungwa kwao na timu za uingereza; na kila kitu kina mwanzo; mwaka huu ndio wataanza kufungwa kwao-
tuko pamoja!
Hawa Villareal tutawachinja wakitia mguu Emirates, hope RVP na Eduardo watakuwa fit ili pale mbele tucheze na mastriker wawili wa kuaminika. Naskia Gallas atakuwa out for the rest of the season! Bring on Porto, go on you gunners!

jana ilikuwa (defensively formation) 3-5-1 ....ade alikuwa ana haha peke yake kule mbele. Wakija Imarati, huenda vijana wakacheza 4-4-2 , RVP na Ade pamoja pale mbele kwa uhakika wa magoli zaidi.
Gallas mzoefu, lakini Djourou anaziba vizuri hilo pengo, tunamhitaji apate uzoefu games kama hizi!
Wajameni all in all, vijana walijitahidi and got fair results kwa kweli! Ndugu zetu Man U mkono wa Mungu wao ulikuwa mrefu sana jana re. bao la Rooney!