DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,993
- 11,871
Wewe boya usitake kufila mada.. wewe unahoji usajili wa Willian, wee mbona ulimsajili Shwanstaiga? Weka jibu linaloeleweka sio kuruka ruka tu!We hujui yule alichukuliwa baada ya kusajili vipaji vibichi na vya hatari kama Memphis depay na angel dimaria
We jamaa bana unafurahisha sasa di maria wa kipindi kipindi kile unaweza kufananisha miaka yake na willian wa saiviWewe boya usitake kufila mada.. wewe unahoji usajili wa Willian, wee mbona ulimsajili Shwanstaiga? Weka jibu linaloeleweka sio kuruka ruka tu!
Haya unazungumzia wachezaji wabichi, mbona mimi tayari ninao vijana kama Pepé, KT, Bern Leno, Belle, n.k.
Halafu ni nani aliekwambia Di Maria alikuwa mbichi kipindi kile?
Huyu naye apuuzwe kama yule pimbi mwingine.We jamaa bana unafurahisha sasa di maria wa kipindi kipindi kile unaweza kufananisha miaka yake na willian wa saivi
Kumbe wewe ni mbumbumbu eeh?!We jamaa bana unafurahisha sasa di maria wa kipindi kipindi kile unaweza kufananisha miaka yake na willian wa saivi
Dah! Kweli kabisa..Huyu naye apuuzwe kama yule pimbi mwingine.
Wote tuignore kila atakachoandika kuhusu mpira. Kwenye majukwaa mengine ushkaji uendelee.
Huyu naye apuuzwe kama yule pimbi mwingine.
Wote tuignore kila atakachoandika kuhusu mpira. Kwenye majukwaa mengine ushkaji uendelee.
Ushabiki siyo kuandika spinning hata pale kwenye ukweli. Mfano hua unakosea majina ya wachezaji na baadhi ya records kisha mtu atakurekebisha utakuja na spinning mpya.Huwezi kuwa mshabiki wa mpira halafu ukawa na mentality ya namna hii, wewe ndio unafaa kupuuzwa
Mimi ni mwanamichezo napenda soka na siwezi kuita mods kwenye masuala ya soka ukiona ivyo basi either nawewe uliwahi kuniitiaUshabiki siyo kuandika spinning hata pale kwenye ukweli. Mfano hua unakosea majina ya wachezaji na baadhi ya records kisha mtu atakurekebisha utakuja na spinning mpya.
Pia nasikia we ni mwepesi kuita mods watu wakikunyweshwa dawa unayotumia kwa wengine.
Hakuna aliyekataa kama wewe ni mwanamichezo, maana michezo ipo mingi sana, rede, kibaokata, mpira wa pete n.k yote ni michezo hiyoMimi ni mwanamichezo napenda soka na siwezi kuita mods kwenye masuala ya soka ukiona ivyo basi either nawewe uliwahi kuniitia

kwani wewe hupendi urubani?






Nimeanza kushabikia soka wakati huo wewe makamasi yanakutiririka upo kwenu mfulu huko.. Hiyo kibaokata shangilia wewe ndicho unachokijuaHakuna aliyekataa kama wewe ni mwanamichezo, maana michezo ipo mingi sana, rede, kibaokata, mpira wa pete n.k yote ni michezo hiyo
Pia hakuna anayebjsha kuwa wapenda soka, sababu sio kila unachokipenda basi utakuwa na uwezo nacho au na chenyewe kitakupendakwani wewe hupendi urubani?
Au yule mwanamke unayempenda hapo mtaani kwako umempata?
Yaani ndio hivyo soka unalipenda lakini halikupendi.
Jaribu rede, baikoko, au kigoma cha kuchimba mkuu.
Wana namba 10 yao halafu captain anaitwa Gomez, anakamua kichizi.Mnawaona Atalanta?
Kocha wa PSG kaogopa mechi kaweka mabeki 5 na akili za kukaba 2 (Gueye na Herrera) hii mechi Mbape atacheza ingawa ni majeruhi.Wana namba 10 yao halafu captain anaitwa Gomez, anakamua kichizi.
Sijamuona yule munu wa kuitwa Ilicic..