isajorsergio
Platinum Member
- Apr 22, 2018
- 4,143
- 6,562
Aisee Torreira akiyasikia haya kutoka kwako anaweza kulia akilinganisha na wakati anasajiliwa kutoka Sampdoria alisikia jambo jema sana na kipindi akivuruga mechi za Manchester United & City, Liverpool na Tottenham.Ujio wa Partey automatically Toreira hana kaz tena
Maana Ceballos anaongezewa loan , bado kuna Xhaka, anakuja Coutinho , willian Na Deal la Partey bado lipo Active
Kwa scenario hii ,Toreira hana namba tena
Kwa hali ilivyo sasa usitegemee akasajiliwa mtu wa kuja kukaa bench, na ndio maana Mikel mara zote anakazia kwenye quality na haoni aibu kulisema hilo kuwa kikosi kinakosa qualities kutokana na wachezaji wengi kuwa ni average,Aisee Torreira akiyasikia haya kutoka kwako anaweza kulia akilinganisha na wakati anasajiliwa kutoka Sampdoria alisikia jambo jema sana na kipindi akivuruga mechi za Manchester United & City, Liverpool na Tottenham.
Aaron appreciate the little work from our boys, usione hawafai sababu unataka kusikia klabu imesajili.
Hapana kaka ,Mm.namkubali sana huyu jamaa. Ila Wakulaumiwa ni Unai emery, alimuharibu akidai ni mfupi akaanza kumpanga No.10 ,Mara box to box , mwisho benchAisee Torreira akiyasikia haya kutoka kwako anaweza kulia akilinganisha na wakati anasajiliwa kutoka Sampdoria alisikia jambo jema sana na kipindi akivuruga mechi za Manchester United & City, Liverpool na Tottenham.
Aaron appreciate the little work from our boys, usione hawafai sababu unataka kusikia klabu imesajili.
Sinaga hizo wwNi marufuku kuita mods hapa bibimawe
Tatizo ni kumuondosha huku ukiwa huna Squad Depth! Haya niliwahi kuyasema humu kipindi Henrikh Mkhitaryan anatolewa kwa mkopo kisa Nicolas Pepe, sasa hivi akitoka Pepe unaona Nelson, akitoka Lacazatte au Aubameyang unamuona Nketiah akitoka Xhaka unamuona Willock kweli?!Hapana kaka ,Mm.namkubali sana huyu jamaa. Ila Wakulaumiwa ni Unai emery, alimuharibu akidai ni mfupi akaanza kumpanga No.10 ,Mara box to box , mwisho bench
Yote hayo ili Guendouz acheze tu
Alipokuja Arteta ,akataka kiungo wa chini DLP(Deep lying playmaker) anayewalinda mabeki na kupiga pass mbele
Ikaonekana hii kaz Ceballos anaiweza kuliko. Toreira ,
Sasa Ujio wa WILLIAN, coutinho,sijui Partey
Bado kuna xhaka ambaye piga ua hakuna wakumuweka nje ,
Je toreira atapata nafas tena?
Telegraph wanasema Arsenal inamuweka sokoni
AC Milan plotting another move for Lucas Torreira with Arsenal open to selling midfielder to fund purchases @SamJDean
AC Milan keen on Lucas Torreira with Arsenal open to selling midfielder
Fact mzee..Tatizo ni kumuondosha huku ukiwa huna Squad Depth! Haya niliwahi kuyasema humu kipindi Henrikh Mkhitaryan anatolewa kwa mkopo kisa Nicolas Pepe, sasa hivi akitoka Pepe unaona Nelson, akitoka Lacazatte au Aubameyang unamuona Nketiah akitoka Xhaka unamuona Willock kweli?!
Angalia Squad Depth ya Manchester City na Liverpool akitoka mtu anaingia mtu sio nusu watu kama Willock, Nketiah na Nelson.
Leo hii mnadai hamtaki kumuona Shkodrani Mustafi kisa ujio wa Saliba sawa! Saliba akiumia au asipo cope na team?! Same hamtaki kumuona Sead Kolašinac kisa Kieran Tierney yupo fit, siku akiumia uanze kumrudisha Saka left side?!
Shida sio kuingiza na kutoa wachezaji ni kuhakikisha unakuwa na wachezaji bora na squad depth na kazi ni kufanya rotation ya one on one leo akicheza Xhaka kesho mtoe dakika ya 70 muweke Torreira, kesho kutwa Europa anzisha Torreira.
Mashindano mbele yetu ni manne (Premier League, Europa League, Emirates FA Cup, Carabao EFL Cup huwezi kutumia wachezaji 21 tu huku ukitegemea wachezaji takataka aina ya Willock, Nelson na Nketiah. Wachezaji wenye future na potential kwa wakati mmoja ni Bukayo Saka na Gabriel Matinelli na kidogo Guendouzi.
Yes! Ukiwa na Squad Depth hata treble unapigania, hata akisajiliwa Partey bado Torreira abaki tuwe na viungo waliokamilika wanne maana kwa wiki ni mechi mbili hadi tatu lazima wote watacheza.Fact mzee..
Na Hilo la kutokua na depth squad ndo lilikua linatu "costig" kipindi Cha babu wanger yaaani akiumia tu cazorla hamna mtu wa ku back up pengo lake..
Sead na mustafi Ni bora wabaki at least tuwe tunawachezesha hata carabao uko..
Mkuu hawawezi kukuelewa kamwe.Tatizo ni kumuondosha huku ukiwa huna Squad Depth! Haya niliwahi kuyasema humu kipindi Henrikh Mkhitaryan anatolewa kwa mkopo kisa Nicolas Pepe, sasa hivi akitoka Pepe unaona Nelson, akitoka Lacazatte au Aubameyang unamuona Nketiah akitoka Xhaka unamuona Willock kweli?!
Angalia Squad Depth ya Manchester City na Liverpool akitoka mtu anaingia mtu sio nusu watu kama Willock, Nketiah na Nelson.
Leo hii mnadai hamtaki kumuona Shkodrani Mustafi kisa ujio wa Saliba sawa! Saliba akiumia au asipo cope na team?! Same hamtaki kumuona Sead Kolašinac kisa Kieran Tierney yupo fit, siku akiumia uanze kumrudisha Saka left side?!
Shida sio kuingiza na kutoa wachezaji ni kuhakikisha unakuwa na wachezaji bora na squad depth na kazi ni kufanya rotation ya one on one leo akicheza Xhaka kesho mtoe dakika ya 70 muweke Torreira, kesho kutwa Europa anzisha Torreira.
Mashindano mbele yetu ni manne (Premier League, Europa League, Emirates FA Cup, Carabao EFL Cup huwezi kutumia wachezaji 21 tu huku ukitegemea wachezaji takataka aina ya Willock, Nelson na Nketiah. Wachezaji wenye future na potential kwa wakati mmoja ni Bukayo Saka na Gabriel Matinelli na kidogo Guendouzi.
Na huyo Partey anaweza akaja na akachemsha pia.Yes! Ukiwa na Squad Depth hata treble unapigania, hata akisajiliwa Partey bado Torreira abaki tuwe na viungo waliokamilika wanne maana kwa wiki ni mechi mbili hadi tatu lazima wote watacheza.
Sasa huyo Torrera yeye yupo tayari kuwa backup? Jiulize hilo kwanza, unakumbuka ishu ya Timmo na Klopp.Na huyo Partey anaweza akaja na akachemsha pia.
Tusilete ushabiki, mnakumbuka alipokuja bakayoko???
Ni kosa kubwa sana Arsenal itakuwa imefanya, yale yale ya Sebastian Larsson na Serge Gnabry.Mkuu hawawezi kukuelewa kamwe.
Ni ujinga wa hali ya juu kumuuza torreira
Kumbe ndio maana mna washabiki wengi wa kike eh!
Mnacheza Dicks out out!