Hii game kama final mwa Villa maana wakikaza wananusurika kushuka[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1513217
Tuache visingizio ni ufala kutopiga on target hata 1 kwa timu kama Villa,fainali ya FA inatufanya turelax but players need to understand final ni final tunaweza fungwa tukakosa nafasi ya Europa kama tulivyokosaga ya CLSisi kama Arsenal leo tumeona tutoe ofa kwa ndugu zetu Aston Villa pamoja na Mbwana Samatta.
Kiukweli katika timu zote zilizopo kwenye mstari mwekundu, Aston Villa haipaswi kuwepo kule.
They deserve to remain in EPL.
Nipo hapa nashangilia ushindi wa Villa.
#COYG
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kila nikifikiria August 01 naona huruma sana.No shot on target
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unasahauje game ya taree moja..Bado game 1 na watford nayo itakuwa ngumu zaidi ya hii
Shida kupata winning momentum. Maana tutaingia fainali ya F.A tukiwa na rekodi ya kufungwa mechi 2 mfululizo( A. Villa + Watford lazima watutungue) hatuezi kumfunga chelsea coming from 2 losses. Wajinga kabisa hawa mechi ilikua inaboa sana. Alaaniwe aliemnunua Pepe badala ya W. ZahaNaona ana imani na FA kutupitisha au ana uhakika kwakua sub 5
Sasa hiyo si tunaenda kuchukua kombe letu tu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unasahauje game ya taree moja..
Players wetu wanawaza fainali ya FA kwa mpira tuliocheza leo dah dah ni disasterBado game 1 na watford nayo itakuwa ngumu zaidi ya hii
Wachezaji wetu wanakusudi sn, wanachagua mechi za kucheza serious.Ulielewa tulipotezaje mechi ya Spurs?Bado game 1 na watford nayo itakuwa ngumu zaidi ya hii
Muulize Manyumbu na bahasha zao City[emoji23]NASIKIA MNATAKA KWENDA KUCHEZA FA NA CHELSEA...mtawezana?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1513263