Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Mbona wanadai ni moto wa kuotea mbaliHuyu kijana namuona wa kawaida tu
Jaribu kumfatilia lakini mm nimemcheck kidogo tu Naona Hata Joao Ferix hamfikii kabisaMbona wanadai ni moto wa kuotea mbali
Kawekewa release clause ya £40m
Ana miaka 17
Arsenal wanataka kutumia njia ya kuwapa na wao kijana mmoja na hela watupe huyo Dogo
Anatabiriwa makubwa ,
Mm Leo ndio nataka nikae nimfatilie vzr hasa Youtube
Awa watoto rojo rojo wana kazi kubwa ya kufanya ..kupambana na wanaume sio kazi ya kitoto[emoji991] Mesut Özil in training today ahead of Aston Villa tomorrow View attachment 1512175View attachment 1512176View attachment 1512177View attachment 1512178View attachment 1512179
Nyumbu bado una hangover za Halima kujiweka jana [emoji16][emoji3][emoji3]Naona team ya hovyo hovyo inacheza fainal na team ya hovyo hovyo [emoji23][emoji23]naisubiri hii fainal ya vilaza fc