Sure,
Japo hiyo ni trick kwani wanategemea kuvuta idadi ya wachezaji wa City waje mbele ili Luiz atupe ndefu counter.....kama goli tulilowafunga tuliwavuta wakajaa tukaenda kwa kishtukiza,ila ni hatari kwa upande flani
Hii mechi arsenal hawana finishing nzuri Kama wakitulia kule mbele ushindi lazima chengine aubameyang ana delay kutoa pass hii mechi City wameoza cjui wamerogwa