Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Huna lolote sababu hata ukiandika hujui utaandika nn ,Watu wa JF wanajulikana si tu kwa username bali pia kwa michango yao na aina yao ya uandishi, mfano leo hii milangomitatu watu wq humu tunamjua hata akija na account 10 na tunaishi nae so kwa uandishi huu wewe unaonekana ni mgeni humu pia upeo wako inaonesha kabisa ni u20 so upo kwa foolish age,
Kwanini hamjifunzi kukaa kimya?mfano Mimi kuliko kuwavurugia watu amani na kujishushia heshima kama sina hoja ya msingi naamua kuwa mpenzi msomaji wa michango ya wengine na siku zinaenda,
Siri ya mafanikio ni kuwa na upendo pia kuishi vizuri na majirani zako,
Kama jambo huna uelewa nalo soma michango ya wengine ujifunze,
Na haka katabia kuna hizi account ENZO , papaa G na Gpili mnatakiwa sana mjifunze kuishi na watu vizuri, maana hata matusi kwenu ni kawaida tu,sasa humu JF watu wanatumia sana acc fake unaweza kuta Aaron ndio mchungaji wako hapo kanisani kwenu , King Ngwaba ndio baba yako mzazi au wa kufikia na Don Clericuzio ndio shemeji yako mume wa Dada yako ambaye amekununulia hiyo smartphone unayotumia kumtukana humu,
Elimu ya mitandao ya kijamii imewapitia kushoto sana .
Mwenye masikio na asikie
Nyie taka taka ndio mumfunge MourinhoSpurz kesho tunamfundisha soka
Kiungo cha Xhaka & Ceballos kipo Compact sana
Kutokuwepo mgunduz kumetusaidia
Mech na Leicester ,Arteta alitakiwa aache Laca amalize game ,laca ndio mtaalamu wa mech kama zile
Kutokuwepo nketiah ,kutasababisha Laca apate more time
Spurz kesho wanakufa mapema
oya acha tabia za kike kuropoka ropokà tu,toa hoja za maana zènye mashiko.umelazìmishwa kuchangiaNyie taka taka ndio mumfunge Mourinho
Huyo ni kumuignore tu,Watu wa JF wanajulikana si tu kwa username bali pia kwa michango yao na aina yao ya uandishi, mfano leo hii milangomitatu watu wq humu tunamjua hata akija na account 10 na tunaishi nae so kwa uandishi huu wewe unaonekana ni mgeni humu pia upeo wako inaonesha kabisa ni u20 so upo kwa foolish age,
Kwanini hamjifunzi kukaa kimya?mfano Mimi kuliko kuwavurugia watu amani na kujishushia heshima kama sina hoja ya msingi naamua kuwa mpenzi msomaji wa michango ya wengine na siku zinaenda,
Siri ya mafanikio ni kuwa na upendo pia kuishi vizuri na majirani zako,
Kama jambo huna uelewa nalo soma michango ya wengine ujifunze,
Na haka katabia kuna hizi account ENZO , papaa G na Gpili mnatakiwa sana mjifunze kuishi na watu vizuri, maana hata matusi kwenu ni kawaida tu,sasa humu JF watu wanatumia sana acc fake unaweza kuta Aaron ndio mchungaji wako hapo kanisani kwenu , King Ngwaba ndio baba yako mzazi au wa kufikia na Don Clericuzio ndio shemeji yako mume wa Dada yako ambaye amekununulia hiyo smartphone unayotumia kumtukana humu,
Elimu ya mitandao ya kijamii imewapitia kushoto sana .
Mwenye masikio na asikie
Sawa JUMA LOkoLeoya acha tabia za kike kuropoka ropokà tu,toa hoja za maana zènye mashiko.umelazìmishwa kuchangia
Kumbe hii Kenge Gpilipilihoho na huku inapitaga? Watu wanaokaa kwa Mesheji zao utawajua tu! Shemeji akienda Bafuni baada ya Kumnyandua Dadayake yeye ndiyo anapata muuda wa kuichukuwa Simu ya Shemeji fasta na kupost ujinga wake! Na ili mugundue hilo ingieni kwenye profile yake utakuta posts zake kwenye majukwaa yote zinapostiwa kwa wakati mmoja! Hii inamaanisha muda anaochukuwa Simu ya Shemeji anapita katika Nyuzi zote anapost Fasta ili Shemeji akitoka Bafuni awe ameshapitia notifications zote na kulog out.
Dogo ukiendelea na vitabia vyako vya kike wahuni watakushika matakoNyie taka taka ndio mumfunge Mourinho
Atakufa tuDah FA sometimes kama wanatuonea,sasa huyu City sijui tuna deal nae VIP,manake tumechezea tatu nje ndani.
Sheffield ni wazuri mno, kuwafunga ilikua bahati yetu.Chelsea walivyoona tumeifunga Sheffield United,walidhsni ni virahisi no they are not. That tells the quality of our football
Msako ni kawaida timu inapoongozwa goliSheffield ni wazuri mno, kuwafunga ilikua bahati yetu.
Uliona msako waliotupiga kipind cha pili
Kocha wa dunia kashasemaArteta .
. "Tulibadilisha mbinu wiki zilizopita ili kuzoea majeraha na shida zinazotokea.
Lakini tunahitaji kuwa wenye kubadilika zaidi na tayari kukabiliana.
Hatutaki mpinzani atusome kirahisi. Ni muhimu kufanya hivyo ili tuweze kudhibiti hali tofauti, mifumo tofauti (ya mpinzani) ili tuweze kuboresha kama timu. Tunafanya hivi .View attachment 1504301