Klabu ya Arsenal, ipo kwenye mazungumzo na klabu ya Real Madrid, uwezekano wa kumsajili kiungo wao Dani Ceballos mwishoni mwa msimu huu.
.
.
" Tunaendelea kuongea na Real Madrid, uwezekano wa kutaka kumsajili moja kwa moja mchezaji huyo bado kwa sasa sio mchezaji wetu halali kwa sababu ni mchezaji wa Real Madrid, ana mkataba mpaka mwaka 2023
.
.
" Kama tutafanikiwa kumsajili nina imani ataendelea kutusaidia kwenye timu yetu tangu amewasili amekuwa na kiwango bora, " Mikel Arteta