Alex Saint Maxim huyu jamaa nasikia Arsenal wanamfatilia ,
Aisee jamaa alipokuja alikuwa kama Zaha , sasa hivi amekuwa zaid anatoa assist ,anafunga
Ana miaka 23
Arsenal inaonesha inasaka Wide forward
Hapa kuna Majina kama
Depay
Maxim
Zaha
Said benrahama
Binafsi ningependa kumuona Alex saint Maxim
Kwanini?Anacheza timu ambayo ni inajilinda sana , lakini amekuwa ni msumbufu wanaposhambulia ,newcastle wanamtumia sana kwa Kaunta ,
Imagine anaenda timu inayoshambulia ,
Wakati anafika alikuwa hana end product kubwa , lakini siku zinavyokwenda amekuwa na msaada eneo la mwisho kwa kutoa assist au kufunga .
View attachment 1499126