Achana na Mazwazwa....haya bhasi sema tumeshuka daraja na wewe umechukua ubingwa EPL, umeshalidhika?!
Oyaa tuna vichwa vya kuuzwa maana nyie zoa zoa kule tuna Drinkwater, Batshwayi, Moses mtatoa ngapi. Acheni ubahili chukueni vichwa ivyo..vina spirit ya kutupia magoli na kubeba makombe ..msimu ujao ubingwa wenu...
#CFC
Arteta on Aubameyang:Will Jr unakumbuka juzi kati tuliongea kuhusu Auba?nkakwambia huyu jamaa lazima atasepa tu msimu ukiisha sababu anajua hana cha kupoteza leo kaja na kauli hii Tujiandae kwa lolote wachezaji wa south America na Africa hawaaminikiView attachment 1479774