Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
KIli kufuzu kushiriki Ligi ya Mabingwa msimu ujao na Ligi ya Europa, timu italazimika iwe kwenye viwango vya juu vya ubora wa mashindano ya UEFA.
Maafisa wa juu wa Shirikisho la soka barani Ulaya leo wamekutana tena kujadili juu ya athari zinazoongezeka za janga la Corona.
Nimeiona hii inatrend sana huko majuu!..Kimsingi, Raul Sanllehi ataanzisha mawasiliano na wakala wa Coutinho Kia Joorabchian katika siku zijazo.
Mikel Arteta anaamini mchezaji huyo anaweza kujipanga tena kwenye Ligi Kuu.
Arsenal wapo tayari kufanya bidii kubwa kupata saini yake
[info: ni chanzo cha kuamini ka kutoka Mwandishi wa Mundo derpotivo gazeti la habari za Catalunya hasa @EduPolo]View attachment 1459057
Sent using Jamii Forums mobile app
Ideally, if we sign Coutinho on loan and Thomas Partey, we should try to play 4-3-3 to give freedom to Phillipe like he does when he plays at Brazil. We have to maximize our options.