Klabu ya Arsenal, imeanza mazungumzo na klabu ya Atletico Madrid, kuhusu kumsajili kiungo wao Thomas Partney, mwishoni mwa msimu huu.
.
.
Nyota huyo mwenye umri wa miaka 26 amekuwa anahusishwa mara kwa mara kujiunga na klabu hiyo ya Arsenal, hata hivyo klabu ya Atletico Madrid, wapo tayari kuumuza nyota huyo kwa kiasi cha paundi milioni 43 ikiwa sehemu ya kuvunja mkataba wake.
.
.
" Siku ya kwanza wakati nasikia tetesi za mtoto wangu Partey kujiunga na Arsenal msimu ujao nikamwita na nikamwambia kuwa nimesikia tetesi huenda zikawa ni za kweli wewe kujiunga na Arsenal msimu ujao alikiambia kituo kimoja cha radio Tru Fm kilichokuwa Ghana kwao
.
.
" Inategemea Arsenal na Atletico Madrid, watafikia makubaliano gani kwenye kuumuza Partey, kwa sababu bado mkataba wake wa miaka mitano ndani ya klabu hiyo kama watafikia sehemu nzuri basi msimu ujao atatua Arsenal,
.
.
" Nitafurahi sana kama Partey atajiunga na Arsenal, kwa sababu huku kwetu Ghana kuna mashabiki wengi wa timu hiyo itapendeza zaidi,"Alisema Jacob Partey.
View attachment 1427160