Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mikel Arteta had been tested after feeling ill & the result came up positive at around 9pm on Thursday, leading the club to take instant action. [Guardian] #afc
 
Dah majirani poleni sana... Hamna umuhimu wa ligi kuendelea tena kwa sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Daah!.. Hali imekuwa tete sana! Hii ligi inaenda kusimamishwa na sijui itakuwaje huko mbele maana kuna mdau alianzisha uzi hapa akaeleza namna corona virus imeanzishwa na us kuvuruga uchumi wa dunia na kwamba ugonjwa huo utadumu kwa miaka 10 na kisha utaisha wenyewe ghafla.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari mpya
20200313_090029.jpeg

baba naomba link ya huo uzi wa corona.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah!.. Hali imekuwa tete sana! Hii ligi inaenda kusimamishwa na sijui itakuwaje huko mbele maana kuna mdau alianzisha uzi hapa akaeleza namna corona virus imeanzishwa na us kuvuruga uchumi wa dunia na kwamba ugonjwa huo utadumu kwa miaka 10 na kisha utaisha wenyewe ghafla.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwa mpuuzi narekani yote yanawezekana
 
Back
Top Bottom