Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Jamani mmenionea yule Dr wetu maarufu kwa jina la Rev Masanilo...nilikuwa naye muda mfupi lakini naona kanipiga chenga ya mwili sasa sijui ndiyo kaenda kulala au vipi baada ya magoli ya haraka. Rev rudi kijiweni.
 
There are currently 21 users browsing this thread. (11 members and 10 guests)

Mnazidi kujazana tu humu ndani, wakat wenzenu kuna Quest, Richard na AW wanaanzisha matanange mlikuwa wapi?, leo ya Tottenham msimu jana yanajirudia hapa Emirata. Sawa?
 
66th Minute. Are we defending?????? Its yet the time Palz....
 
Ujinga sana fabregas anachokifanya,tumekaa na mpira mpaka tunapoteza kijinga.tushaanza kuharibu.
 
Goaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaal songggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggg

Ustaaadh Alhaji Wenger, taraaaatibu basi yakhee na keyboard yangu, hiyo PC nimekuazima kwa mda tu, mwenyewe hiyo ya kuwarithisha vitukuuu vyangu aisee,....
 
Baada kumtoa van persie anamtoa walcott,mbaya zaidi anamleta Diaby kibichwa laini kinoma na mpotezaji mipira tu.
 
Leo uwanjani haondoki mtu mpaka dakika ya 90+3 au 4
 
Walcott angetusaidia sana kwenye counter attack.Chamakh anakuja i hope atapata cross ya kupiga kichwa.
 
Mkuu Wenger Mzee Arsene amekusikia, Chamakh anaingia kwa nafasi ya Van Persie.
 

With a minute to go before the half-time kettle is put on the Gunners strike. It's all a bit messy but Alexandre Song gets the ball from a Jack Wilshere pass and it's in the net. 1-0 and the stadium is rocking at the break
 
Ka-Diaby kinanyata mbele ya kipa.huyu french connection ndio inamsaidia zaidi ya hapo wa kuuza tu hili afungulie wengine njia.
 
Diaby ni Mse*******la sana......What a miss was That??????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…