Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Mkuu saka ni MZURI sana kukaba , wakati anapewa hiyo nafasi ya LB , alishindwa kuwa mpigaj MZURI wa krosspamoja na ushindi wa jana natamani haya yafanyike
PEA arudi ktk central position naamini tutapata magoli mengi sana
SAKA acheze no za mbele either right/left winger coz sio mzuri kwenye kukaba
CEBALLOS kwa vyovyote vile anatakiwa acheze tena on more advanced position either 8/10
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu kijana atunzwe vizuri, anaweza akawa Ashley Cole anayekuja.ORNSTEIN |
Arsenal wako katika mchakato wa kumuongezea Bukayo Saka mkataba mpya wa miaka 5, Saka mwenye miaka 18 amebakiza miezi 18 tu kwenye mkataba wake wa sasa.
#coyg
Mkuu mimi naamini ubora zaidi wa Saka uko kwenye namba za mbele hasa akitokea pembeni, kumhamishia moja kwa moja na tatu ni kumnyima ya kuonesha uwezo wake wote aliokua nao,Mkuu saka ni MZURI sana kukaba , wakati anapewa hiyo nafasi ya LB , alishindwa kuwa mpigaj MZURI wa kross
Kadri siku zinavyoenda kaimarika kwenye Ku attack pia
Kule mbele namba ni ngumu kupata , maana Hiyo namba Anaicheza Martinel & auba
Upo sahihi , ila yule ni versatile playerMkuu mimi naamini ubora zaidi wa Saka uko kwenye namba za mbele hasa akitokea pembeni, kumhamishia moja kwa moja na tatu ni kumnyima ya kuonesha uwezo wake wote aliokua nao,
Kwenye game zitakazo hitaji matumizi makubwa ya kimaumbile kucheza beki kutamsumbua, anaucheza tu kwasababu ana akili nyingi ya mpira ukiongeza na kujiamini kwake kunafanya aonekane kuimudu.
Zile takwimu za takeon alizokua kua nazo Jana ni takwimu zaikina Salah ,Messi na Mahrez. Nimawazo yangu lakini
Sent using Jamii Forums mobile app
uko sawa kabisa kwa physical battle Saka tutakuja kumlaumu tu kikubwa ni hicho ulichokisema tutamnyima nafasi ya kuonesha uwezo wake woteMkuu mimi naamini ubora zaidi wa Saka uko kwenye namba za mbele hasa akitokea pembeni, kumhamishia moja kwa moja na tatu ni kumnyima ya kuonesha uwezo wake wote aliokua nao,
Kwenye game zitakazo hitaji matumizi makubwa ya kimaumbile kucheza beki kutamsumbua, anaucheza tu kwasababu ana akili nyingi ya mpira ukiongeza na kujiamini kwake kunafanya aonekane kuimudu.
Zile takwimu za takeon alizokua kua nazo Jana ni takwimu zaikina Salah ,Messi na Mahrez. Nimawazo yangu lakini
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu sio kwamba , Saka anasababisha Xhaka Ku concentrate in Leftuko sawa kabisa kwa physical battle Saka tutakuja kumlaumu tu kikubwa ni hicho ulichokisema tutamnyima nafasi ya kuonesha uwezo wake wote
Pia anasababisha xhaka kuconcerate in left position wakati dogo anashambulia as result xhaka anamwacha one mido in midfilder line.Kama uliona jana ceballos alicheza chini sana ku offer defensive line wakati tuna mpira na hatuna mpira
Sent using Jamii Forums mobile app
Daah! Kweli tunatofautiana kuona! Kiukweli mimi naona saka anacheza vizuri left back kuliko akicheza kama winger. Na kwa kweli toka aanze kucheza kama left back sijawahi kuyaona makosa ua wazi aliyofanya!. Na badala yake amesaidia sana kuimalisha huko nyuma..pamoja na ushindi wa jana natamani haya yafanyike
PEA arudi ktk central position naamini tutapata magoli mengi sana
SAKA acheze no za mbele either right/left winger coz sio mzuri kwenye kukaba
CEBALLOS kwa vyovyote vile anatakiwa acheze tena on more advanced position either 8/10
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli, hata mimi ameniridhisha sana kwenye nafasi hiyo. Hana makosa ya kuwa out of position na pia kwenye kupanda kusaidia mashambulizi ana akili sana ya kucheza na mpira.Daah! Kweli tunatofautiana kuona! Kiukweli mimi naona saka anacheza vizuri left back kuliko akicheza kama winger. Na kwa kweli toka aanze kucheza kama left back sijawahi kuyaona makosa ua wazi aliyofanya!. Na badala yake amesaidia sana kuimalisha huko nyuma..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mimi naamini ubora zaidi wa Saka uko kwenye namba za mbele hasa akitokea pembeni, kumhamishia moja kwa moja na tatu ni kumnyima ya kuonesha uwezo wake wote aliokua nao,
Kwenye game zitakazo hitaji matumizi makubwa ya kimaumbile kucheza beki kutamsumbua, anaucheza tu kwasababu ana akili nyingi ya mpira ukiongeza na kujiamini kwake kunafanya aonekane kuimudu.
Zile takwimu za takeon alizokua kua nazo Jana ni takwimu zaikina Salah ,Messi na Mahrez. Nimawazo yangu lakini
Sent using Jamii Forums mobile app
Daah! Kweli tunatofautiana kuona! Kiukweli mimi naona saka anacheza vizuri left back kuliko akicheza kama winger. Na kwa kweli toka aanze kucheza kama left back sijawahi kuyaona makosa ua wazi aliyofanya!. Na badala yake amesaidia sana kuimalisha huko nyuma..
Sent using Jamii Forums mobile app