Acid Conclusion yako ndiyo FAMBA kaka....Inamaana Hutaki Tushinde???? 4 UR INFO HII GAME TUNASHINDA NO MATTER WHAT IT TAKES.....Ni kama CCM kwenye Chaguzi za Bongo....Sijui tutachakachua vipi ila Am sure TUTASHINDA......
Cha muhimu kwanza ni kuacha kuwa uchochoro wa MANU na Chelsea kila tunapokutana nao na pia kutwaa taji la EPL. Tukifanikisha haya mawili basi hizi kejeli zitapotea
Hapa ushirikiano wa Jack Wilshere, Cesc Fabregas na Alex Song ni ufunguo wa matokeo yoyote yale leo. Naona nyimbo zinaimbwa kila pembe. Sasa tutashuhudia "open game" ambalo nitaburudisha kila mpenzi wa mpira.
I hope AW hatawataka wacheze defensive game ili kulinda goli moja, hayo yatakuwa makosa makubwa sana maana mashambulizi yatakuwa makali na chochote kuweza kutokea. Wacheze kama kipindi cha kwanza kuna uwezerkano mkubwa wa kuongeza goli moja au hata zaidi.