Kama point 6 nahisi pekee hizi mechi za Everton na NEWCASTLE ndo za kupata point 6 kwa mtindo huu wakishindwa kupata hizi point benchi la ufundi na wachezaji watastahili viboko vikali sana
Tuseme woyoooooooo Everton njoo tarehe 23 nimalizie point zangu 6 kamili 3 tushachukua bado 3 tuendelee na mchaka mchaka hadi mwisho wa msimu woyoooooo