SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,803
- 25,444
Mzee baba hao Everton sio vitonga... ohooo!Kama point 6 nahisi pekee hizi mechi za Everton na NEWCASTLE ndo za kupata point 6 kwa mtindo huu wakishindwa kupata hizi point benchi la ufundi na wachezaji watastahili viboko vikali sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Leicester, Wolverhampton, Man utd, tottenhan wote nao wamefurahia kama nyie. Na hivi ukiangalia katika timu zote hizo zipo stable mentally kuliko nyie. It is not that easy mzee.Habari nzuri sana sasa ni zamu yetu kurudi champions league nafasi hiyo nyeupe na hili tukishindwa kuchukua advantage itakuwa ni aibu ya karne maana hawa watoto wa wolves Leicester na wengineo nao wanaona nafasi ndo hii
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kipindi Dully JR alisema milango mitatu ni ARV nimeona kwenye comments za nyuma sasa unasema Mimi ni milango mitatu sijui ukweli upo wapi?matokeo tofauti ya Leo ambayo hayatakuwa ni point 3 lazima tuogope sio kulalamika maana mpaka sasa tupo nafasi ya 11 sawa na newcastle
Sent using Jamii Forums mobile app
Mentally stable kiaje yaaniLeicester, Wolverhampton, Man utd, tottenhan wote nao wamefurahia kama nyie. Na hivi ukiangalia katika timu zote hizo zipo stable mentally kuliko nyie. It is not that easy mzee.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani 3doors yupo wapi mkuu?Kuna kipindi Dully JR alisema milango mitatu ni ARV nimeona kwenye comments za nyuma sasa unasema Mimi ni milango mitatu sijui ukweli upo wapi?matokeo tofauti ya Leo ambayo hayatakuwa ni point 3 lazima tuogope sio kulalamika maana mpaka sasa tupo nafasi ya 11 sawa na newcastle
Sent using Jamii Forums mobile app
AiseeeeehNketiah starts, Laca benched. Pepe comes in for Martinelli. Ceballos also starts.View attachment 1359765
anazingua sasa namba ya torreira nani ananacheza xhaka au?!Nketiah starts, Laca benched. Pepe comes in for Martinelli. Ceballos also starts.View attachment 1359765
Huyu Arteta kumbe nae ni......anyway ngoja niweke akiba ya maneno.Nketiah starts, Laca benched. Pepe comes in for Martinelli. Ceballos also starts.View attachment 1359765
Sidhani hata kama Lacca yupo hovyo anastahili kuwekwa benchi na Eddie
Sent using Jamii Forums mobile app