computerarsenal
JF-Expert Member
- Jan 27, 2020
- 3,479
- 6,033
Sio taarifa nzuri hasa ukihusisha mahusiano ya Raul na Barca.FC Barcelona has just launched the first official contacts with Arsenal for Pierre-Emerick Aubameyang, the priority of the Catalan club at the center forward position. [@le10sport]
Arsenal board has so far indicated that it is not keen to sell Aubameyang in January. However, within the Barca hierarchy, they are still considering holding negotiations with the Gunners in the coming hours to convince the North London club.
Dah naona Leo umekuja kutunanga au sioDah safari ya Arsenal kuchukuwa ubingwa siku za mbeleni inafikirisha sana ni kama kucheki movie nzuri ya kusisimua ghafla ijeuke kuwa ya mazombie
Sent using Cash Money Wings
Madders ni mzuri, Ni moja ya Midfield muhimu sana kwetu kama tungempata lakini he is very inflated, ukigusa unaweza kuambiwa price tag yake ni £100mil ikichangiwa na uingereza wake kama Maguire
Yaas! hii ni good news mzee Aaron Arsenal, ikumbukwe Mari is a gooner, Aje na huyo defence yetu ibalance sasa.Cedric Soares atakuwa mchezaji wa Arsenal ndani ya masaa 24 yajayo
Anacheza Fullback zote Left & right
Source😀avid Ornstein
Ila mm kati ya Jack Grelish na Madison ,Madders ni mzuri, Ni moja ya Midfield muhimu sana kwetu kama tungempata lakini he is very inflated, ukigusa unaweza kuambiwa price tag yake ni £100mil ikichangiwa na uingereza wake kama Maguire
Huyu jamaa kuna mtu kanitonya eti ana injuryCedric Soares atakuwa mchezaji wa Arsenal ndani ya masaa 24 yajayo
Anacheza Fullback zote Left & right
Source😀avid Ornstein
Ni kweli alipata ligament injury mguuni, kwenye mechi ya Crystal palace january 21, ambapo ktk mechi hiyo southamptom walishinda 2 - 0. Kocha wa southamptom alisema atakuwa nje kwa wiki tatu.. Kwa hiyo amebakiwa na wiki mbili tu anarudi mzigoni.Huyu jamaa kuna mtu kanitonya eti ana injury
Wote hao ni wazuri kaka akipatikana mmojawapo sio mbaya maana kwa sasa OZIL hawafikiii hao jamaa kabisa yaani na hao jamaa wanacreate chances wanashoot wanafanya assist wanakaba kitu ambacho namba 10 wetu kwa sasa amepitwa mbali mnoIla mm kati ya Jack Grelish na Madison ,
Namchukua Jack Grelish
Ni kweli baada ya international break utamuona mzigoni, huyu hapaHuyu jamaa kuna mtu kanitonya eti ana injury
uh hector kazi anayoo, jamaa kama winger anafinya, anakaba , mzuri wa pass na anafunga....hapo kwa mbali pelee limepata mkunaji.Ni kweli baada ya international break utamuona mzigoni, huyu hapa