PABLO MARI: HITAJI LA ARTETA KATIKA ENEO LA LEFT CENTER BACK
Hii ilikuwa lazima kumpata beki huyu .......kwa mantiki hii huyu beki Ndiye atakuwa muanzilishi mkuu wa mashambulizi ......
Ataondoka kwenye mfumo wa kutumia 2 double pivot (Xhaka & Lucas Toreira)kwenye edge ya box .......
Mabeki wa pembeni watakuwa wanatanua wide
Xhaka atasogea mbele kutengeneza channel ya no 10 kivuli kama David Silva pale man city ,
Mwanzoni alikuwa anashuka chini sana kusaidia kuanzisha mipira kuswitch kulia au kushoto ........kwa Left fullback .
Pablo Mari Beki wa kati wa mguu wa kushoto au LCB atafanya kazi aliyokuwa anafanya granit xhaka ...
Hivyo si ajabu Tukaanza kutumia 4-3-3 sasa au msimu ujao ...
My thought
Tactical theories za kocha zinahitaji nini kiuchezaji
Tactics ndio zinakupa option ya mchezaji na movements zake ila kusahau ni jinsi gani anaweza kumanage space time na individual action
Mahitaji ya pablo tactically ni kupunguza ground coverage ya mtu kama xhaka kurudi chini zaidi
Ila msingi mkuu wa hii ni philosophy ya kocha jinsi gani ilivyo maana start from back inahitaji rhythm sahihi kiucheza na nature ya mtu
Mguu wa kushoto ni pengine isiwe factor kubwa bali uhitaji wa mtu kuweza ku afford accuracy ya pass akiwa eneo la kuchoto kitu ambacho kwa sokratis huwa ni mtihani kidogo japo anajitahidi ndio maana mipira mingi anapewa luiz kama muanzisha mashambulizi .
Lengo kuu ni kusaidia wepesi wa hawa Fullback na midfielder mmoja kuja deep na kutengeza triangle shape hii ni kwaajili ya series ya pass na kuflow kulingana na mahitaji
HUU NI MTIZAMO WANGU NA MAONI MBALIMBALI KUTOKA KWA MASHABIKI