Mkuu ni shida ,watu hawana uvumilivu aiseeehh alafu wanajifanya washabiki!!!kuna timu isiyofungwa duniani?
Analalamika Arsenal kudraw ila jana hiyohiyo city,everton nao wamedraw na chelsea kafungwa ina maana hizo timu hazina maahabiki????mbona hatuwaoni kutukana wachezaji wao hata kama watakuwa negative lakini sio kwa kiwango cha huyu mburula.......
Then wapinzani wanamtia ujinga yeye anapata bichwa ili aendelee kuvuruga hapa......kwa hili kashindwa tena sana....
Sisi tunasimama na timu yetu kwani tunajua ipo katika kipindi cha mpito ambacho hakuna timu ambayo haijawahi kukipitia....
Hao chelsea walikaa 50 yrs without EPL....
CITY nao wamekaa miaka mingi mpaka kufikia mafanikio haya wamesota sana....
Tena akae ajue hata hizo Blackburn rovers na Nottingham Forest pia wanao washabiki mpaka leo...asilete ujinga humu...kama hajui maana ya ushabiki akae pembeni tu,
In Arteta We Trust.
Tunajenga timu yetu hata kama tutatumia misimu mitano au zaidi....
HATUTOKI_HATUHAMI
COYG.
Sent using
Jamii Forums mobile app