synthesizere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2019
- 882
- 1,264
Lacazete sijui amepatwa na tatizo gani msimu huu mimi mwenyewe Kuna mda simwelewi anapenda kujiangusha na kufanya fouls zisizo na sababuMm kilio changu humu mpaka nimejibizana vibaya na watu, ni lacazette
NILISEMA HII TIMU NAIJUA KWA MIAKA 22 SASA NILISEMA KWA UHAKIKA HIZI MECHI 2 HATUTASHINDA ZOTE NA PIA TUNAWEZA TUSISHINDE HATA MOJA NA COMMENT YANGU HII NILISEMA NAISEVU NIKIWA NA UHAKIKA ASILIMIA 100 NA KAMA ITAENDA TOFAUTI NIONDOLEWE HUMU KUNDINI WAKATI SISI HATUELEWEKI WENZETU WANAZIDI KUPAA HUKU AARON AKISIFUSASA MKUU UNATAKA NYEUSI IWE NYEUPE?INGEKUWA EPL ANGALAU TUPO TOP SIX THEN NKAWA NAONGEA NEGATIVE UNGESEMA MIMI NI MAMLUKI ILA TUPO NAFASI YA 10 HATUJASAJILI MTU WA MAANA MPAKA SASA TIMU YETU HATUJAWAH SHNDA MECHI 2 MFULULIZO HADI SASA YAANI TUPO TUPO NDO MAANA NAONGEA HIVI FACTS SITAKI KUPINDISHA AU KUJIPA MATUMAINI WAKATI HATA WEWE UNAJUA HATUNA FUTURE MSIMU HUU
MIMI NASUBIRIA MSIMU UJAO NDO NIANZE UPYA MASHINDANO SASA HIVI SIJUI NACHOKITAKA MAANA KWENDA TOP 4 NI NGUMU TUMEACHWA POINT 11 ILA KUSHUKA DARAJA NI RAHISI MNO MAANA NI POINT 6 TU NA MSTARI WA KUSHUKA DARAJA NA NINAAPA HII STATEMENT ITUNZE KATIKA HIZI MECHI 2 ZINAZOFUATA KUNA HAYA YAFUATAYO KWA JINSI NAVYOIJUA TIMU YANGU HII ZAIDI YA MIAKA 22
KWANZA HATUTASHINDA HIZI MECHI 2 MFULULIZO TUNZA COMMENT YANGU KAMA KUTAKUWA HAKUNA USAJILI MPYA
PILI KATIKA HIZI MECHI 2 TUNAWEZA PIA TUSISHINDE HATA GAME MOJA TUNZA COMMENT YANGU KAMA KUTAKUWA HAKUNA USAJILI MPYA
KATIKA HAYO MAWILI NLIYOTAJA MOJA LAZIMA LITOKEE KAMA NTAKUWA MUONGO UTAKUJA KUNIKUMBUSHA NIPO TAYARI KUKUMBUSHWA
GAME YA JMOSI TUNA ASILIMIA 65 YA KUSHINDA SABABU TUNACHEZA HOME EMIRATES ILA SHEFFIELD TUNAWAJUA HAWA NGOJA TUONE KITAKACHOTOKEA
Sent using Jamii Forums mobile app
HII TIMU ISHAJIFIA USITEGEMEE JIPYA AU MIUJIZADuh!! Labda baadae timu itakua vizuri..
Hatuna quality players kivile kwa sasa kuwa na uhakika wa kushinda games msimu huu wewe tulia tu hata tukimaliza position hii ya kumi sawa tu japokuwa wengi hatuhitaji Ilo litokee ila ndio uhalisia wa mambo wachezaji hatuna tuingie sokoni tulete vifaa vya kazi tuwe na timu shindani kwa sasa tuenjoy burudani tuUshoga mwingi Arsn
Hii Arsenal ina utoto mwingi, tulitakiwa kumaliza gemu mapema kipindi cha pili.Duh!! Labda baadae timu itakua vizuri..
Mkuu Arteta hii project yake aliyoianza tumuache tumpatie mda naamini yajayo yanafurahishaDuh!! Labda baadae timu itakua vizuri..
Sure game ilitakiwa iishe first halfHii Arsenal ina utoto mwingi, tulitakiwa kumaliza gemu mapema kipindi cha pili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Arteta Kama akiwepo baada ya msimu ujao (msimu wa 2021/2022) ndio nitaanza kumjudge na kumdai kwa sasa at least naenjoy kuangalia burudani
Mkuu angalia usijekujinyonga tu maana arsenal inakuumiza mno inaonekanaNILISEMA HII TIMU NAIJUA KWA MIAKA 22 SASA NILISEMA KWA UHAKIKA HIZI MECHI 2 HATUTASHINDA ZOTE NA PIA TUNAWEZA TUSISHINDE HATA MOJA NA COMMENT YANGU HII NILISEMA NAISEVU NIKIWA NA UHAKIKA ASILIMIA 100 NA KAMA ITAENDA TOFAUTI NIONDOLEWE HUMU KUNDINI WAKATI SISI HATUELEWEKI WENZETU WANAZIDI KUPAA HUKU AARON AKISIFU
OHH SASA HIVI TUNACHEZA MPIRA OHH TIMU IMEBADILIKA HUKU NI KUJIPA MATUMAINI HEWA AU MATUMAINI SIFURI NA NEXT GAME NI DHIDI YA CHELSEA NAAPA NAAPA HII MECHI YA CHELSEA TUSIIFUATILIE HAKUNA USHINDI AMBAO TUTAUPATA USHINDI WETU UTAKUWA NI SARE AU KUFUNGWA KABISA TUTAPATA MAUMIVU HYO J4
KICHEKESHO UKIANGALIA MECHI YA MANCITY LEO NDO MAANA NIMEAMINI WHY WANATAKA KUTUUZIA STONES NA UKIONA BODI HAINA AKILI TIMAMU YA ARSENAL WAPO MGONGONI KUMTAKA NDO UONE HII TIMU HAINA NIA NA MAKOMBE MAKUBWA KABISA
ONYO TUPO TOFAUTI YA POINT 7 KUSHUKA DARAJA LOLOTE LINAWEZA KUTOKEA HADI MAY TIMU ISHAJIFIA HII
YAMETIMIA
ARSENAL 1-1 SHEFFIELD UNITED FULL TIME
TUNAOJUA MPIRA TUKISEMA TUNAONEKANA MAMLUKI NAISHIA KUTUKANWA
Sent using Jamii Forums mobile app
KabisaHiki kitoto Saka uwa mnakishambulia, nakaa nawacheck halafu nabaki kuwashanga. It is 1-0, a combination of 18 years players
Tumeupiga mwingi mnoooNaombeni statistics za gemu... Sikucheki
Hii gem tulkua na uwezo wa kuchukua points 3 bila ubishi baadhi ya wachezaji wametuangusha
HAHA NA EUROPA NAAPA SIKU TUKIKUTANA NA WOLVES ITAKUWA MWISHO WETU NA HATA MFANO TWENDE FINAL NA WOLVES WATABEBA KOMBE MBELE YA ARTETAMkuu angalia usijekujinyonga tu maana arsenal inakuumiza mno inaonekana
We leta statistics .Tumeupiga mwingi mnooo
#COYG
Hilo halitatokea mkuuHAHA NA EUROPA NAAPA SIKU TUKIKUTANA NA WOLVES ITAKUWA MWISHO WETU NA HATA MFANO TWENDE FINAL NA WOLVES WATABEBA KOMBE MBELE YA ARTETA
Sent using Jamii Forums mobile app