Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Huyu aliyeripoti ni mshabiki wa benfica kama alivyoJames benge wa Arsenal.
Journalist from Curitiba says that Arsenal want to steal Bruno from under Benfica's nose. He's very reliable, imo. He's saying that 'sad' because he's a Benfica fanView attachment 1324281
Anacheza nafasi gani jamaa..? Ni fundi au... coz hata simjuiJournalist from Curitiba says that Arsenal want to steal Bruno from under Benfica's nose. He's very reliable, imo. He's saying that 'sad' because he's a Benfica fanView attachment 1324280
Anacheza kiungo kasoro CAM , pia ni box box MD , kifupi ni fundi ,Anacheza nafasi gani jamaa..? Ni fundi au... coz hata simjui
Benfica kashindwa bei ,na Arsenal walipanga kumchukua SummerSikuwa najuwa kama tetesi zinaashiria u-serous wa Arsenal kiasi hiki.
Sent from SM-G950F using Jamii Forums mobile app
WEWE UNADILI NA HERUFI KUBWA PEKE YAKE??NIAMBIE KATIKA MANENO YANGU NLIYOYAANDIKA NI WAPI NIMESEMA UONGO?UKINIONYESHA SEHEMU AMBAYO NIMESEMA UONGO KUHUSU TIMU YANGU YA ARSENAL NTAJITOA HUMUKweli ulichoongea mkuu. Comment zake zote tuzichumie. Tufanye kama hatuzioni vile. Maana ataki kubadilika kabisa wadau wamemwomba aache kutumia herufi kubwa hasikii nadhani ni wale wanaopenda kukela watu.
HUYU INAWEZEKANA AKATUSAIDIA SABABU WACHEZAJI WENGI KAMA HAWA AMBAO PIA WANA ASILI ZA AMERIKA KUSINI HUWA SINA SHAKA NAO HUWA NI WANAUME HAWA WA KUPAMBANA KATIKA MECHIAnacheza kiungo kasoro CAM , pia ni box box MD , kifupi ni fundi ,
Sikutumi uende YouTube. ,ila subiri aje
Hakuna kitu kama hicho,usijaribu kutuvuruga hakuna aliyekamilika....wewe unayemkosoa Pepe kwani wachezaji wako kule wamekamilika kwa kiasi gani?na hatukatazi kukosoa bali tunakataza kukashifu.....huwezi kukashifu usajiri wa pepe tumepigwa wakati wewe unae Pulisic kule na hakuna akifanyacho.....tofauti na matarajio....Ukiwakosoa OZIL na PEPE utaambulia matusi sio ya nchi hii.
Sent using Cash Money Wings
Kacheza dakika ngapi ukicompare na hao unaomlinganisha naoSIJATOA LAWAMA KAKA ILA OZIL TANGIA MSIMU ULIOPITA HADI SASA ANA ASSIST NGAPI?LABDA KAMA NA DATA AMBAZO SI ZA KWELI ILA NA UHAKIKA HANA ZAIDI YA ASSIT 6 TOKA MSIMU WOTE ULIOPITA HADI HUU WA SASA UNAOENDELEA SILAUMU ILA NAONGEA UKWELI
Sent using Jamii Forums mobile app