Arsenal (The Gunners) | Special Thread

ANGALIA TIMU ZA WENZETU ZINAVYOFANYA KAZI MFANO MATTEO ALIKUWA ANAFIT KWENYE MFUMO WA ARSENAL??HILI SINA HAKIKA NALO KWA KWELI ILA USAJILI UFANYIKE ZILE SEHEMU AMBAZO ZINAPWAYA MFANO SISI TUNA FORWAD KALI SANA MTU 3 PALE MBELE ILA JE OZIL WA SASA ANAWEZA AKAWA MSAADA KWAO?HILI PIA SILIONI SABABU OZIL WETU KAZIDIWA HATA NA TREND ARNORD KWA ASSIST WAKATI MISIMU YA NYUMA ALIKUWA NI MKALI SASA AMESHUKA KIWANGO SANA TUNAISHIA KUKARIRI KWA ALIYOYAFANYA YA NYUMA

KWA SASA TUNAHITAJI BEKI NAMBA 2 MKALI BEKI YA KATI MMOJA MKALI NA MIDDLE HASA NAMBA 10 LAKINI HAYA NI MAWAZO YANGU MIMI BINAFSI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwan Ukitoa KDB nan kiungo wa timu nyingine unazozijua anamzid TAA assist? Au hujui Fullbacks wa kisasa wanashambulia na wanaasist kibao kuliko viungo?

Punguza lawama nyingi
 
Bruno Andrede ndani ya TV channel 11


Anasema Bruno Guimares to Arsenal Fees 25m


Updates utazipata




More yet to come
 
Kolasinac ruled out of Sheffield United game with a thigh injury. With Tierney also out, likely Saka could come in at left-back. #AFC
 
Kwan Ukitoa KDB nan kiungo wa timu nyingine unazozijua anamzid TAA assist? Au hujui Fullbacks wa kisasa wanashambulia na wanaasist kibao kuliko viungo?

Punguza lawama nyingi
SIJATOA LAWAMA KAKA ILA OZIL TANGIA MSIMU ULIOPITA HADI SASA ANA ASSIST NGAPI?LABDA KAMA NA DATA AMBAZO SI ZA KWELI ILA NA UHAKIKA HANA ZAIDI YA ASSIT 6 TOKA MSIMU WOTE ULIOPITA HADI HUU WA SASA UNAOENDELEA SILAUMU ILA NAONGEA UKWELI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Arsenal to offer €25m for Bruno Guimarães by Thursday. Player should have no issues getting work permit. [@brunoandrd]
 
According to the very reliable @brunoandrd, Bruno Guimarães is likely coming to Arsenal. A bid of 25 million euros set to be tabled.
 
Arsenal will be sending in an offer of €25m for Bruno Guimarães some time this week. The fee would satisfy the needs of Athletico Paranaense and also be of enough value to meet work permit requirements in the UK. [@brunoandrd] #AFC
 
Reporter yule yule aliyetoa habari ya Martinel kuja Arsenal kwa Mara ya kwanza ,

Ndio amesema Arsenal itatuma ofa Kesho ya £25m kwa Bruno Guimares


Tusubiri tuone
 
Arsenal intensifies talks to hire Bruno Guimarães. [@brunoandrd]


Tuko kwenye mazungumzo ya kina


Wameisha hawa wabrazil hatuachagi Mtu kwenye hii sector


Huss Fahmy Chief Negotiator hajawahi acha MTU salama
 
'Arsenal should between today and Thursday formalize an offer of 25 million euros for Bruno Guimarães, the fee that Athletico Paranaense wants and sign the player via @brunoandrd'
 
Kweli ulichoongea mkuu. Comment zake zote tuzichumie. Tufanye kama hatuzioni vile. Maana ataki kubadilika kabisa wadau wamemwomba aache kutumia herufi kubwa hasikii nadhani ni wale wanaopenda kukela watu.
 
Arsenal’s appeal to reduce or overturn Aubameyang’s three match suspension has been unsuccessful. #afc #arsenal
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…