Arsenal (The Gunners) | Special Thread

SASA TANGIA ARTETA KAINGIA ARSENAL NIAMBIE NI MECHI IPI ILIKUWA NYEPESI KUSHINDA KAMA SI HII?HII MECHI TUMETAWALA KILA KITU MASHUTI KUMILIKI PASS YAANI KILA SEHEMU BADO IMEISHA SARE

Sent using Jamii Forums mobile app
MIMI NA MIZUKA GANI KAKA SASA?KWANI HATUJATOA SARE AU ?KATIKA VIGOGO MPAKA WANAOCHEZA SASA SISI NDO TUMEDROO

Sent using Jamii Forums mobile app
Game na palace ugenini huwa ni ngumu... Nadhani umeona mazingira yenyewe hadi sare kutokea... Hakuna mtu wakulaumiwa leo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Game na palace ugenini huwa ni ngumu... Nadhani umeona mazingira yenyewe hadi sare kutokea... Hakuna mtu wakulaumiwa leo.

Sent using Jamii Forums mobile app
SAWA ILA WAKATI SISI TUNASHINDWA KUSHINDA ONA SOUTHAMPTON NA EVERTON WAO WAMESHINDA ANGALAU MECHI 3 KATI YA 4 NA WALE WENZETU TUNAOGOMBANIA NAFASI WANAVYOZIDI KUTUACHA ANGALIA MSIMAMO


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio matokeo mabaya sana, CP haijawahi kuwa laini kwa gunners. Arteta anajenga timu, we don't concede stupidly.

Naamini a few additions would make us stronger.
 
Game ya leo tulikuwa pungufu toka 60+min wewe ulitakaje labda,?? au game umesikiliza kwenye Radio nini Mwenzetu?

Kama ingekuwa ni group la Watsapp na mimi ndio Admin basi ningekuremove mapema sana,Shabiki gani hueleweki wewe tukishinda unasifia,mambo yakienda hovyo wachezaji wanakuwa wabaya.
 
Huyo jamaa kuna fyuzi zimekata...na ukiona dume lina tabia ya kulalamalalama yakupasa uliangalie vizuri maana kuna mengi siku hizi.....




Hizi tshirt zimeshaprintiwa huko Ulaya jana baada ya game ya Westham

Sent using Jamii Forums mobile app
 
UKIONA JAMAA WANACHELEWA KUSAJIRI INGIA MWENYEWE SOKONI MZEE,
SAJIRI MESSI,MBAPPE,ICARDI,NEYMER,VARANE,

NA SISI TUTAKUSHUKURU.

MAANA TUMECHOSHWA NA LAWAMA ZAKO HUMU.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo Arsenal tumeshinda ngapi wakuu?

Vipi Pepe alicheza Leo?

Vipi Ozil nae alicheza?

Haya tupo nafasi ya ngapi kwenye ligi?

Mechi yetu ya mwisho tulimfunga Man u na tukasema timu yetu iko vizuri.

Ila siyo mbaya ligi bado mbichi hii, mdogo mdogo wakuu.
 
Wanaume tunajadili timu yetu wewe unapita na kanga imelowa maji...
 
Yes, timu inaanza kukaa sawa. Under Emery mambo hayakuwa sawa, huenda hii game tungepoteza hasa baada ya red card. Lakini tulionyesha ukomavu kwa dakika 20 tukiwa pungufu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…