momentoftruth
JF-Expert Member
- Jul 5, 2014
- 2,041
- 2,140
Mkuu hebu tumuangalie na Leo nafikiri amekosa kujiamini kwa mechi kadhaa zilizopita nafikiri Leo ataanza kuingia kambaniI respect Arteta’s choice ila Lacazette wasn’t my choice
Lolote linaweza kutokea kwa sasa arsenal wanajiamin sana hasa baada ya kumpata mtaalam arteterKwa mechi ilivyo Arsenal leo anafungwa au anapata droo.lakini kushinda hawezi labda kushinda na njaa.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Lolote linaweza kutokea kwa sasa arsenal wanajiamin sana hasa baada ya kumpata mtaalam arteter
Sent using Jamii Forums mobile app
Na kila mtu ana choices zake. Nimeona sasa hivi kuna watu wanauliza yule mdau aliekuwa akimtetea Guendouzi yuko wapi???I respect Arteta’s choice ila Lacazette wasn’t my choice
Una matatizo wewe!! Nenda kwa Manure ukashangilie hukoHII NDIO ARSENAL MPYA YA ARTETA? SHIDA NI KUBWA HAPA, HASA UKIONA LUIZ ANA TOUCHES NYINGI KULIKO MCHEZAJI YEYOTE WA ARSENAL.MUDA SIO MREFU TUTASIKIA "ARTETA OUT"
Sent using Jamii Forums mobile app
Muhimu tuungane mkuu kwa sasa kuisapoti timu irudi kwenye ubora wakeNa kila mtu ana choices zake. Nimeona sasa hivi kuna watu wanauliza yule mdau aliekuwa akimtetea Guendouzi yuko wapi???
Walimwengu kweli shida, mmesahau hapa tulikuwa tunasema holding vyovyote iwavyo achezeshwe?? Mbona Leo yupo benchi na tumetulia?? Si tulikuwa tukimnanga sokratis hapa???
Unaweweseka sanaHII NDIO ARSENAL MPYA YA ARTETA? SHIDA NI KUBWA HAPA, HASA UKIONA LUIZ ANA TOUCHES NYINGI KULIKO MCHEZAJI YEYOTE WA ARSENAL.MUDA SIO MREFU TUTASIKIA "ARTETA OUT"
Sent using Jamii Forums mobile app
we jamaa unagundu aiseeHII NDIO ARSENAL MPYA YA ARTETA? SHIDA NI KUBWA HAPA, HASA UKIONA LUIZ ANA TOUCHES NYINGI KULIKO MCHEZAJI YEYOTE WA ARSENAL.MUDA SIO MREFU TUTASIKIA "ARTETA OUT"
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe umekalia juzi viwembe viwili vikali kabisa sijui unapata wapi ujasiri huo, Manyumbu mnafurahisha, timu yenu inachojua ni kukimbizana tu uwanjani km mbio za farasi,HII NDIO ARSENAL MPYA YA ARTETA? SHIDA NI KUBWA HAPA, HASA UKIONA LUIZ ANA TOUCHES NYINGI KULIKO MCHEZAJI YEYOTE WA ARSENAL.MUDA SIO MREFU TUTASIKIA "ARTETA OUT"
Sent using Jamii Forums mobile app
I respect Arteta’s choice ila Lacazette wasn’t my choice
Muhimu tuungane mkuu kwa sasa kuisapoti timu irudi kwenye ubora wake
COYG
Japo Lacca hafungi, ila movements zake, assists zinasaidia wengine kufunga. That's enough kwa timu.Muwe Arsenal supporters positive msiwe washabiki wa arsenal mkiulizwa kuhusu timu mnakua Kama sio supporters
Sent using Jamii Forums mobile app
Japo Lacca hafungi, ila movements zake, assists zinasaidia wengine kufunga. That's enough kwa timu.
Sent using Jamii Forums mobile app