Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Dogo ameshafanyiwa recruitment ya kutosha , kama kwa Martinel ,
Dogo ameshafanyiwa recruitment ya kutosha , kama kwa Martinel ,
Lakini umesikia huko Chelsea anataka kununua garasa lemar la Atletico kwa £60m , mech 21 goals 0 assist 0 , toka ameenda Atletico ana goal 3
Wacha kukataa habari zinazowahusu...nasikia Dembele wa Lyon mnataka kupigwa 50m+ Giroud
Nimecheka sana....kwahiyo Giroud tulivyowapiga 15m mlikuwa hamjaangalia birth certificate yake????Tume cancel dili, mastriker ya ligi za ufarasa ya hovyo. Dembele litakuwa sawa na Lacazette, tabia ya kugaragara chini kama linguruwe pori.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu sio kwamba mashabik wanawaza hivo, kurud top 4 ni malengo ya awali kwanza,MKUBWA KASEMA NA HILI NDO NALITAKA PIA MAMBO YA TOP 4 AU 6 KUYAWAZA KILA SIKU NI UPUUZI MKUBWA NA SISI MASHABIKI HATUJAJIJENGEA HALI YA KUSEMA TUNATAKA MAKOMBE BALI TUNAWAZA HIZO NAFASI ZA TOP 4 AU 6
ASANTE CAPTAINView attachment 1317034
Sent using Jamii Forums mobile app
Soma mwishon hapo nimeuliza anafaa? Huyu tulimtakaga kwa £92m , kipind yupo form ,ila arsenal kama tukimchukua ni kwa mkopo
Hahahaaaaa Sisi tupo ila sio kumnunua ni kwa mkopo
Hata Joao Felix anasema amekumbuka BenficaMkuu huyu bado tusimuite garasa naamini katika kipaji chake!! Ni soka la atletico tu limemshinda!!
Kwa soka la lampard! Arteta hata guardiola namuona lemar akiwa katika kiwango kizuri!