Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Kuna jambo sina uhakika nalo ila nahisi ,Arsenal walishampanga Dayot ,wameongea nae , ndio maana Arsenal hatak kusajiri beki mwingine wa long term plan ,anakomaa na Dayot. ,iwe January au summer .Kuna tetesi Arsenal wametuma offer nyingine kwa Upamecano!.. Tuombe Mungu hili dili likubali tutakuwa tumepata jembe hasa..
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeona maswali mengi ni kuhusu transferRight folks, Arsenal Q&A coming up this afternoon. Get your questions in on Arteta, transfers and anything else.View attachment 1315808
Sent from SM-G950F using Jamii Forums mobile app
Na iwe hivyo tushachoka na rumoursNimeona maswali mengi ni kuhusu transfer
Ni mawazo yako hatuwez kuyapinga maana Katiba inakuruhusu kuongea chochote ili mradi usitukane wala kuvunja sheriaPepe akienda man city anatolewa kwa mkopo. Pepe Hajafika hata robo ya ubora wa Marhez na Bernado Silva.
Usajili wa PEPE kubalini mlijichanganya, acheni kumkingia kifua na kumpanga uongo na kweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Arsenal inasifika kuwa na mashabiki wengi wanaojinyonga toka Africa, kunauwezekano shabiki atakayefuata kujinyonga akawa milango mitatu maana anaota ndoto za alinacha!.. Eti timu isajili wachezaji tisa, utatoa hizo hela wewe?... Timu zote kubwa huwa zina mchanganyiko wa wachezaji wa kariba ya juu na wachezaji wa kawaida na wanapochangamana wanaleta muunganiko mzuri!.. Ndio maana huko liverpool kuna akina chamberlan, hao ni average players lakini ndio wanaoleta ushindi.. Leceiter city wana average players wwngi mno lakini wanatisha kwa kuwa wana kocha wa kiwango cha dunia!.. Sasa wewe lilia Arsenal inunue akina messi tisa ndio ishinde, utateseka na stress kila siku maana hilo halitokuja kutokea!.. Mimi nakuhakikishia pale tukipata wachezaji 4 wa kariba ya juu (waxhezaji wa £50 hadi 100), narudia tena wachezaji 4 tu utaipenda hii Arsenal yetu!.. Hao wachezaji unaotaka tununue haiwezwkani kwa sababu kuna sheria ya Financial Fair Play hairuhusu.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Wawape na Mustafi ili kulainisha dealKuna tetesi Arsenal wametuma offer nyingine kwa Upamecano!.. Tuombe Mungu hili dili likubali tutakuwa tumepata jembe hasa..
Sent using Jamii Forums mobile app
Jifunze kutumia herufi ndogo bro, hii inakuwa kama unafoka.
Wee jamaa umenifanya nicheke sana asee.
Players work on TacticValue ya kile anachodeliver uwanjani ni kidogo sana, hakiendani na thamani ya pesa aliyolipa.
Mkuu nikuulize swali jibu kimpira mbele yako wamesimama Sane, Marhez, Benardo Silva, Pepe, James wa utd, Bale, Dybala.
Unaambiwa chagua mchezaji mmoja awe kwenye timu yako utachagua nani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Uhuru wa kutoa mawazo.....Pepe akienda man city anatolewa kwa mkopo. Pepe Hajafika hata robo ya ubora wa Marhez na Bernado Silva.
Usajili wa PEPE kubalini mlijichanganya, acheni kumkingia kifua na kumpanga uongo na kweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yah ,toka aje Arteta ,pepe amebadilika sana ,Labda niangalie mechi ya Arsenal nimuone hiyò pepe wa sasa anachezaje. Labda niache ku question kiwango chake.
Mimi mchezaji akiwa mzuri namsifia sana.
Kuna wakati nilikuwa namsifia sana Leno kipa mzuri kwa saves alizokuwa anazifanya.
Na kila siku namsifia Auba ni mchezaji mzuri sana.
Sent using Jamii Forums mobile app