Upo sahihi kabisa, Guendouz positioning inamsumbua sana. Naamini Arteta atamuweka sawa tu.Wala hujakosea Huyo Marcelo Biesla anajua sana kuweka mpira chini
POOR PERFORMANCE IN THE FIRST HALF, BRAVO IN THE SECOND HALF
Mechi baada ya mechi matumaini yangu yanazidi kuongezeka kwa Mikel Arteta kutokana na aina ya uchezaji unaoonekana kwa sasa
Arteta sio mpole kama watu wanavyodhani ni mkali na anaonekana hataki mzaha kwenye kazi yake ,
Lacazette anasema walivyoenda mapumziko kawafokea sana kwanini hawachezi kwenye mfumo .
WAFUASI KWA KIBWETELE HAWAWEZI KUMUELEWA ARTETA
Ukiangalia aina ya uchezaji kwenye kipindi cha kwanza we was so bad but angalia kipindi cha pili tulivyokua tunawabonyeza kizenji
Arsenal inarudisha style yake ya uchezaji according to the performance ambayo tunaiona tunapiga pass na tunashambulia kwa kasi wallah pira hili tumekosa mndewa kama Samir Nasri nimemkumbuka sana leo
Marcelo Biesla ni kocha mkubwa and he knows, huyu ndo alomfanyia assessment pep Guardiola wakati anataka kuingia kwenye ukocha
Tangu Arteta awe coach mkuu wachezaji wengi wamebadilika , nilimsikia commentator anasema Arsenal fans walikua wanataka kuona passion na commitment ya wachezaji
Ukiangalia tulivyocheza kipindi cha kwanza na cha pili utaelewa nini naongea
Xhaka na Guendouzi hapa kuna tatizo hawana chemistry na anaemuharibia mwenzie ni Guendouzi, hajui kukaa kwenye position yake anataka awepo kila mpira unapoenda, anataka kila mpira auguse anaacha nafasi yake
Anakua kama kuku wanapofunguliwa bandani wote wanagombania mlango, Guendouzi he has to change la sivyo atamtaka ubaya Mikel
Nadhani aliambiwa hilo coz second half alituliza mchecheto alicheza mpira mwingi sana
Ozil he is a class nadhani mjadala tulishaumaliza, Luiz kama kawaida yake tushamalizana nae
I love the spirit of Sokratis Papa kuna kitu nimegundua , Strikers wanamuogopa sana jamaa mtemi halafu muigizaji anakuchezea rafu halafu anakuomba msamaha
Jamaa kama panya tu anan'gata na kupuliza
The Tank apewe mkataba Unai alitaka kumuuza huyu mtu daaah..!!
Kudos kwa Rob Holding alimfanya Luiz awe free, acheze atakavyo aende anapotaka nadhani ni wakati kuongezewa mkataba apewe miaka 5 zaidi .
Martinelli Mtu na Nusu dogo yupo aggressive sana , ana nidhamu he knows how to press and he knows how to score
We gonna make big deals kwa Gabriel Martinelli na Rob holding
Sijawahi kuumiza kichwa endapo ataumia Leno huwa nakuwa free coz Martinez huifanya kazi ile ile wote wakali bila Martinez furaha ingetoweka leo
Next stop to crystal Palace wanatusumbuaga sana hawa , Arteta nipigie wakina Zaha nizidi kukupa vyeo
KAULI YANGU NI HII
ARTETA IS OUR MAIN MAN, ARTETA IS OUR SAVIOUR, ARTETA IS GONNA MAKE BIG THINGS IN THIS GENERATION
TUENDELEE KULA MTORI NYAMA ZIPO CHINIView attachment 1314439
Umeongea uhalisia sanaHuyu bwana naangaliaga comment zake, ni wale watu wasiotaka kukubali uhalisia wa hali halisi ilivyo, yaani haangalii kabisa tumu ilipokuwa enzi za Emery na sasa Enzi za Arteta. Ameng'ang'ana wachezaji waliopo hawafai maana wana kiwango kidogo kwa hiuo anataka qualiry players. Sasa mimi najiuliza quality players tunawatoa wapi wakati hata kama tungekuwa na pesa nyingi hatuwezi sajili zaidi ya wachezaji wawili kutokana na financial fair play (nahisi hili halijui). Lakini pia hajawah hata kumpongeza kocha jwa kabumbu tunalosakata sasa mpaka tumeweza kupata clean sheet mbili.. Na sisi tunaojua arsenal enzi na enzi tunajya kabisa kiwa tunaenda kumkalisha palace game inayofuata!.. Jamaa analalamika kuwa tumeshambuliwa sana na timu ya championship, lakini hakumbuki kuwa hatuna right back na hivyo kocha akabadili mfumo ili kuendana na waxhezaji tulionao.. Waxhezaji tulionao mbona timy ilikuwa inaupiga mwingi tu enzi za enzi za wenger tena forwars akiwa Maroune Chamack!.. Ukweli ni kwamba tuna bahati tumepata kocha na atatutoa huko tulipo sasa. Baada ya mechi kumi tutakuwa tunaongea mengine!.. Huyu milango mitatu kazi yake ni kutudiscourage tu hapa kwa malalamiko yake yasioisha.. Yaani jamaa yupo kama mwanamke mwenye gubu ambaye haangalii mazuri uliyotenda!.. Watu wanamlaumu sana Nelson, lakini kwa madogo tulionao pale ni huyu ndio mwenye uzoefu mkubwa sana wa kucheza ligi kuu, msimu ulioisha alitupia goal saba mpaka tukaanza kuomba arudi home, sasa amerudi home watu wanalalamika, yaani wamesahau kuwa hawa wachezaji walikuwa wameharibiwa na Emery!.. Nakuhakikishia kama Emery angeendelea kuwepo hata Auba angeflop tu maana mipora ilikuwa haiensi mbele sasa angefungaje?. Hebu tazama beki yetu ilivyotulia sasa hata kama bado timu zinatushambulia! Zamani ilikuwa ukiona timu inashambulia kwenda langoni mwetu unakuwa unajua kabisa hilo linaenda kuwa bao.. TUMPE ARTETA HAKI YAKE SASA MAANA AMESABABISHA TUNAENDA KUANGALIA MPORA KWA CONFIDENCE NYINGI SANA!.. HAKIKA MUNGU AKUBALIKI SANA ARTETA KWA KUTUONDOLEA STRESS..
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani nelson ni mpuuzi kushinda willock labda kama mimi huwa naona machoko mchuzi!!Katika madogo wapuuzi pale Arsenal nadhani huyu Nelson anaongoza. Angalau wengine wanaweza kubadilika huko mbeleni lakini huyu dogo, sijui!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa sasa hata sisi mashabiki wa Arsenal tunajua hatuna timu ya kubeba makombe Sema inabidi hata sisi mashabiki tuanze kujenga mentality ya kuwa tunataka vikombe na sio top 4 au top 6[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu lete [emoji1666]. Wewe ni moja ya mashabiki wachache wa Arsenal wanaojitambua.
Timu lazima iwe na wachezaji quality wa kubeba makombe sio kuendelea kuwasindikiza wengine webebe makombe.
Sasa mnakuwa na wachezaji hata kwenye tetesi za usajili husikii timu kubwa zinawahitaji. Arsenal nawapongeza kwa Auba bonge la striker kila timu kubwa duniani inatamani kuwa naye.
Ila wanaomzunguka Auba hawana hadhi ya kucheza naye.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hapa ARTETA yupo serious na anajua tunataka makombe na sio top 4 au top 6 tumeshachoka na sisi hizo nafasi wakati sisi ni Big clubOrnstein : Arsenal are looking to shift upto 12 players on loan/permanent transfer moves.
Hao uliowataja wapo wote
Eti bhana kama Nelson ni wa kutolewa mkopo,Willock ni wa kuuzwa kabisa...Yaani nelson ni mpuuzi kushinda willock labda kama mimi huwa naona machoko mchuzi!!
Hahaha (mwanamke mwenye gubu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]) tayari wachezaji 12 wanatolewa kwa Mkopo wengine permanent move Mimi najua mpira na hata viongozi wa ulaya wamelifahamu hiloHuyu bwana naangaliaga comment zake, ni wale watu wasiotaka kukubali uhalisia wa hali halisi ilivyo, yaani haangalii kabisa tumu ilipokuwa enzi za Emery na sasa Enzi za Arteta. Ameng'ang'ana wachezaji waliopo hawafai maana wana kiwango kidogo kwa hiuo anataka qualiry players. Sasa mimi najiuliza quality players tunawatoa wapi wakati hata kama tungekuwa na pesa nyingi hatuwezi sajili zaidi ya wachezaji wawili kutokana na financial fair play (nahisi hili halijui). Lakini pia hajawah hata kumpongeza kocha jwa kabumbu tunalosakata sasa mpaka tumeweza kupata clean sheet mbili.. Na sisi tunaojua arsenal enzi na enzi tunajya kabisa kiwa tunaenda kumkalisha palace game inayofuata!.. Jamaa analalamika kuwa tumeshambuliwa sana na timu ya championship, lakini hakumbuki kuwa hatuna right back na hivyo kocha akabadili mfumo ili kuendana na waxhezaji tulionao.. Waxhezaji tulionao mbona timy ilikuwa inaupiga mwingi tu enzi za enzi za wenger tena forwars akiwa Maroune Chamack!.. Ukweli ni kwamba tuna bahati tumepata kocha na atatutoa huko tulipo sasa. Baada ya mechi kumi tutakuwa tunaongea mengine!.. Huyu milango mitatu kazi yake ni kutudiscourage tu hapa kwa malalamiko yake yasioisha.. Yaani jamaa yupo kama mwanamke mwenye gubu ambaye haangalii mazuri uliyotenda!.. Watu wanamlaumu sana Nelson, lakini kwa madogo tulionao pale ni huyu ndio mwenye uzoefu mkubwa sana wa kucheza ligi kuu, msimu ulioisha alitupia goal saba mpaka tukaanza kuomba arudi home, sasa amerudi home watu wanalalamika, yaani wamesahau kuwa hawa wachezaji walikuwa wameharibiwa na Emery!.. Nakuhakikishia kama Emery angeendelea kuwepo hata Auba angeflop tu maana mipora ilikuwa haiensi mbele sasa angefungaje?. Hebu tazama beki yetu ilivyotulia sasa hata kama bado timu zinatushambulia! Zamani ilikuwa ukiona timu inashambulia kwenda langoni mwetu unakuwa unajua kabisa hilo linaenda kuwa bao.. TUMPE ARTETA HAKI YAKE SASA MAANA AMESABABISHA TUNAENDA KUANGALIA MPORA KWA CONFIDENCE NYINGI SANA!.. HAKIKA MUNGU AKUBALIKI SANA ARTETA KWA KUTUONDOLEA STRESS..
Sent using Jamii Forums mobile app
WILLOCK na LINGARD WAPO TIMU KUBWA SABABU NI WAINGEREZA ILA WILLOCK HUWA AKIINGIA TUNAKUWAGA PUNGUFU NGUVU HANA PASS HANA KUFUNGA HAWEZI HATA KUTENGENEZA HAWEZI PIA DAHEti bhana kama Nelson ni wa kutolewa mkopo,Willock ni wa kuuzwa kabisa...
Asante kwa maoni kuntu mzee mwenzangu...Huyu bwana naangaliaga comment zake, ni wale watu wasiotaka kukubali uhalisia wa hali halisi ilivyo, yaani haangalii kabisa tumu ilipokuwa enzi za Emery na sasa Enzi za Arteta. Ameng'ang'ana wachezaji waliopo hawafai maana wana kiwango kidogo kwa hiuo anataka qualiry players. Sasa mimi najiuliza quality players tunawatoa wapi wakati hata kama tungekuwa na pesa nyingi hatuwezi sajili zaidi ya wachezaji wawili kutokana na financial fair play (nahisi hili halijui). Lakini pia hajawah hata kumpongeza kocha jwa kabumbu tunalosakata sasa mpaka tumeweza kupata clean sheet mbili.. Na sisi tunaojua arsenal enzi na enzi tunajya kabisa kiwa tunaenda kumkalisha palace game inayofuata!.. Jamaa analalamika kuwa tumeshambuliwa sana na timu ya championship, lakini hakumbuki kuwa hatuna right back na hivyo kocha akabadili mfumo ili kuendana na waxhezaji tulionao.. Waxhezaji tulionao mbona timy ilikuwa inaupiga mwingi tu enzi za enzi za wenger tena forwars akiwa Maroune Chamack!.. Ukweli ni kwamba tuna bahati tumepata kocha na atatutoa huko tulipo sasa. Baada ya mechi kumi tutakuwa tunaongea mengine!.. Huyu milango mitatu kazi yake ni kutudiscourage tu hapa kwa malalamiko yake yasioisha.. Yaani jamaa yupo kama mwanamke mwenye gubu ambaye haangalii mazuri uliyotenda!.. Watu wanamlaumu sana Nelson, lakini kwa madogo tulionao pale ni huyu ndio mwenye uzoefu mkubwa sana wa kucheza ligi kuu, msimu ulioisha alitupia goal saba mpaka tukaanza kuomba arudi home, sasa amerudi home watu wanalalamika, yaani wamesahau kuwa hawa wachezaji walikuwa wameharibiwa na Emery!.. Nakuhakikishia kama Emery angeendelea kuwepo hata Auba angeflop tu maana mipora ilikuwa haiensi mbele sasa angefungaje?. Hebu tazama beki yetu ilivyotulia sasa hata kama bado timu zinatushambulia! Zamani ilikuwa ukiona timu inashambulia kwenda langoni mwetu unakuwa unajua kabisa hilo linaenda kuwa bao.. TUMPE ARTETA HAKI YAKE SASA MAANA AMESABABISHA TUNAENDA KUANGALIA MPORA KWA CONFIDENCE NYINGI SANA!.. HAKIKA MUNGU AKUBALIKI SANA ARTETA KWA KUTUONDOLEA STRESS..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii comment imeandikwa na Shabiki wa Arsenal anayejua mpira,Wanaopingana na wewe ni wababaishaji tu Brother.[emoji122][emoji122][emoji122]Huyu bwana naangaliaga comment zake, ni wale watu wasiotaka kukubali uhalisia wa hali halisi ilivyo, yaani haangalii kabisa tumu ilipokuwa enzi za Emery na sasa Enzi za Arteta. Ameng'ang'ana wachezaji waliopo hawafai maana wana kiwango kidogo kwa hiuo anataka qualiry players. Sasa mimi najiuliza quality players tunawatoa wapi wakati hata kama tungekuwa na pesa nyingi hatuwezi sajili zaidi ya wachezaji wawili kutokana na financial fair play (nahisi hili halijui). Lakini pia hajawah hata kumpongeza kocha jwa kabumbu tunalosakata sasa mpaka tumeweza kupata clean sheet mbili.. Na sisi tunaojua arsenal enzi na enzi tunajya kabisa kiwa tunaenda kumkalisha palace game inayofuata!.. Jamaa analalamika kuwa tumeshambuliwa sana na timu ya championship, lakini hakumbuki kuwa hatuna right back na hivyo kocha akabadili mfumo ili kuendana na waxhezaji tulionao.. Waxhezaji tulionao mbona timy ilikuwa inaupiga mwingi tu enzi za enzi za wenger tena forwars akiwa Maroune Chamack!.. Ukweli ni kwamba tuna bahati tumepata kocha na atatutoa huko tulipo sasa. Baada ya mechi kumi tutakuwa tunaongea mengine!.. Huyu milango mitatu kazi yake ni kutudiscourage tu hapa kwa malalamiko yake yasioisha.. Yaani jamaa yupo kama mwanamke mwenye gubu ambaye haangalii mazuri uliyotenda!.. Watu wanamlaumu sana Nelson, lakini kwa madogo tulionao pale ni huyu ndio mwenye uzoefu mkubwa sana wa kucheza ligi kuu, msimu ulioisha alitupia goal saba mpaka tukaanza kuomba arudi home, sasa amerudi home watu wanalalamika, yaani wamesahau kuwa hawa wachezaji walikuwa wameharibiwa na Emery!.. Nakuhakikishia kama Emery angeendelea kuwepo hata Auba angeflop tu maana mipora ilikuwa haiensi mbele sasa angefungaje?. Hebu tazama beki yetu ilivyotulia sasa hata kama bado timu zinatushambulia! Zamani ilikuwa ukiona timu inashambulia kwenda langoni mwetu unakuwa unajua kabisa hilo linaenda kuwa bao.. TUMPE ARTETA HAKI YAKE SASA MAANA AMESABABISHA TUNAENDA KUANGALIA MPORA KWA CONFIDENCE NYINGI SANA!.. HAKIKA MUNGU AKUBALIKI SANA ARTETA KWA KUTUONDOLEA STRESS..
Sent using Jamii Forums mobile app
dah we jamaa kilaza na ujui mpira unasema smith, nelson na matteo ni wa kuuza?! hawa ni wakwenda mkopo kukuza vipaji vyao na ni bado wadogo sanaa..Hahaha (mwanamke mwenye gubu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]) tayari wachezaji 12 wanatolewa kwa Mkopo wengine permanent move Mimi najua mpira na hata viongozi wa ulaya wamelifahamu hilo
KAMA TUNATAKA MAKOMBE LAZIMA TUSAJILI WACHEZAJI WABOBEZI NA HILO NDO NALISEMA ILA KWA SASA ARTETA ANAJUA ANACHOKIFANYA
ISHU YA ARSENAL KUSHINDWA KUSAJILI HIYO HAINA MSINGI KABISA NA SABABU YA KUSHINDWA KUSAJILI NI UJINGA WA BODI KUWA MAPOYOYO MFANO WILLOCK NELSON MATTEO ELNENY SMITH MUSTAPHI NANI ATAWANUNUA NA BEI GANI?HAO WOTE WAMEKUJA KIUJANJA UJANJA NDO MAANA HATA UKITAKA KUWAUZA INASHINDIKANA MFANO WENYE KUUZIKA NI AUBA PEPE LACA NA UKIWAUZA HAO TIMU SI INAPOTEA??TAJIRI ATOE HELA YAKE HUKO MBELENI TUTAJUA NINI KITAFUATA KWA SASA TUNAHITAJI NEW PLAYERS (SIO ILI MRADI BALI WENYE VIWANGO)
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa vijana sio wabovu kama watu wanavyowaona, hawana experience bado ya kuanza first eleven Arsenal, Hata akina Pogba kuna kipindi walikuwa level za hawa vijana leo ni mastar wakubwa.dah we jamaa kilaza na ujui mpira unasema smith, nelson na matteo ni wa kuuza?! hawa ni wakwenda mkopo kukuza vipaji vyao na ni bado wadogo sanaa..
Sent using Jamii Forums mobile app
Arsenal haiwez kuwauza hao , inawatafutia timu wakapate muda mwingi wa kuchezaHawa vijana sio wabovu kama watu wanavyowaona, hawana experience bado ya kuanza first eleven Arsenal, Hata akina Pogba kuna kipindi walikuwa level za hawa vijana leo ni mastar wakubwa.
Waende kwa mkopo wapate uzoefu zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha (mwanamke mwenye gubu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]) tayari wachezaji 12 wanatolewa kwa Mkopo wengine permanent move Mimi najua mpira na hata viongozi wa ulaya wamelifahamu hilo
KAMA TUNATAKA MAKOMBE LAZIMA TUSAJILI WACHEZAJI WABOBEZI NA HILO NDO NALISEMA ILA KWA SASA ARTETA ANAJUA ANACHOKIFANYA
ISHU YA ARSENAL KUSHINDWA KUSAJILI HIYO HAINA MSINGI KABISA NA SABABU YA KUSHINDWA KUSAJILI NI UJINGA WA BODI KUWA MAPOYOYO MFANO WILLOCK NELSON MATTEO ELNENY SMITH MUSTAPHI NANI ATAWANUNUA NA BEI GANI?HAO WOTE WAMEKUJA KIUJANJA UJANJA NDO MAANA HATA UKITAKA KUWAUZA INASHINDIKANA MFANO WENYE KUUZIKA NI AUBA PEPE LACA NA UKIWAUZA HAO TIMU SI INAPOTEA??TAJIRI ATOE HELA YAKE HUKO MBELENI TUTAJUA NINI KITAFUATA KWA SASA TUNAHITAJI NEW PLAYERS (SIO ILI MRADI BALI WENYE VIWANGO)
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unaujua mpira!..KOCHA BORA NI MBINU NA UWAZI KWA WACHEZAJI
[emoji871] hata serikali ili ijenge imani kwa wananchi inahitaji transparent(uwazi) na responsiblities( uwajibikaji) ni ipi dhana ya tafsri ya hiki nipe sikio je uko tayari[emoji2]
[emoji871] arsenal yetu hii nyuma kidogo hapo ilikosa #clarity wachezaji pengine hawakuelewa haswa walitakiwa kufata kitu gani pengine adaption ya mifumo isiyokuwa consistent iliwapa tabu
[emoji871] ujio wa arteta ambae kimsingi language sio tatizo kwake na majority wachezaji lugha kingereza ipo vizuri hvyo ujumbe na uwazi wa nini kocha anahitaji unafika kwa usahihi je nazungumza nini
[emoji871] pitia mfano game ya jana poor display first half haikutufanya tuwe defeated unajua kwanini kocha anajua kucheza na attitudes za wachezaji kimchezo
[emoji871] plan ilikuwa sahihi second half najua kuna watu watahitaji data ( first half ) tulipiga shots 3 tu ok na mpinzani 15 uku second half tukipiga shots 13 na mpinzani 3
[emoji871] kilicho leta hii kitu ni clear message ya kocha wachezaji kuwazibiti hawa leeds wasipate free flowing ilikuwa kazi ya xhaka sometimes
[emoji871] sio kila faulu hufanyika kwa bahati mbaya kuna tactical faul hii ni kumtoa mpinzani mchezoni na akitoka tu wewe una anza kupress ilitusaidia hii
[emoji871] hvyo basi kocha uwazi wa mbinu zake na uwajibikaji kutimiza hilo ndio msingi wa kupata result game 2 hizi
View attachment 1314848
Umeeleza ukweli ulio waziNi kweli baadhi ya wachezaji watapelekwa kwa mkopo ili kuwapa game time, na sio kwa sababu hawana viwango!.. Ni mdumo wa Emery huko nyuma ndio ulisababisha baadhi ya waxhezaji waonekane vilaza!.. Hebu fikiria tulitaka kumununua Lemar kwa £90 lakini akaenda Atletico kaflop vibaya sana, lakini ni mchezaji mzuri ajabu;.. Pale Epl hakuna timu yenye madogo kama wale waliozalishwa kwa wingi kwenye academy yetu.. Kwa mfano ni timu chache pale Epl zenye forward wa kufikia level ya martnell maana dogo anadrible, ana nguvu kama nyati, ana ball control na miguu yake ni ya hatari!.. It is the matter of time, baada ya misimu 3 huyu martinell anaweza akawa anatupia hadi goal 15 kwa msimu!. Sasa ikitokea anapelekwa kwa mkopo sio kwamba hajui, bali ni kumpa game time maana tuna washambuliaji wengi!.. Baadhi ya wachezaji ambao hawaweI kupelekwa loan ni Martinell, Saka na Nelson.. Lakini pia kumbuka kuna mchezaji kama msitafi tulimnunua kwa £30 na uwezo wake ulikuwa mkubwa tu, sasa huyu kashuka kiwango na hana tena confidence, kazi ya Arteta ni kurudisha kiwango chake!.. Huyu Elneny aliyeflop vibaya mno enzi za Emery ndiye aliyekuwa tegemeo letu pale kwenye midfield enzi za Wenger na timu iliperform vizuri.. Hoja yangu ni kwamba uzuri na ubaya wa waxhezaji husababishwa na makocha na formation zao, ndio maana Arteta kaamua kujenga timu kupitia kwa Ozil aliyekuwa ameflop mbaya enzi za Emery!.. Ni kweli hatuna wachezaji wa kariba ya juu sana lakini tulionao pia wanaliweza. Arteta amesema yeye anataka wachezaji watakaoweza kucheza kitimu.. Nakuhakikishia hata tusiposajili tutafanya vizuri tu!.. Mimi nakuomba u-relax, anza kucheki game zetu za raha maana tunarudi winning mentality japo baadhi ya mexhi tutafungwa pia!.. Wale average players watauzwa!.. Timu yetu inahitaji wachezaji 4 tu wa kariba ya juu ili tuwe level za man city (beki 2 na viungi 2) baaasi utaipenda!..
Sent using Jamii Forums mobile app