Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Dalili ya mvua ni mawingu na dalili za usajili ni tetesiNaona tetesi zinaendelea tu huku kukiwa hakhna hata mmoja aliesajiliwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Wafanye hivyo aje kwa mkopo akifaulu poa akifeli bac...
Nikawaida kipind cha usajiri , siunaona hata Chelsea wana hela mkononi lkn had sasa hawajavuta hata MTU, usajiri huwa una mambo mengiNaona tetesi zinaendelea tu huku kukiwa hakhna hata mmoja aliesajiliwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakubaliana na wewe maana ana rate kubwa ya upigaji pass na ndio kitu Arteta anakihitaji85% naamini ataweza soka letu pale
15% mengine mungu ndio mjuaji zaidi!!
Lemar si JeromeNakubaliana na wewe maana ana rate kubwa ya upigaji pass na ndio kitu Arteta anakihitajiView attachment 1313984
Nakubaliana na wewe maana ana rate kubwa ya upigaji pass na ndio kitu Arteta anakihitajiView attachment 1313984
January hii unadhani unaweza kumg'oa mchezaji tegemeo kirahisi...?Arsenal kujihusisha na usajili wa mtu ambaye yuko washed out ni dalili za kwamba mmekubali kuwa midtable team.
January hii unadhani unaweza kumg'oa mchezaji tegemeo kirahisi...?
Kwa unavyoiona arsenal hii, unadhani ni eneo gani linahitaji mabadiliko ya haraka zaidi....?Kuna haraka gani kusajili sasa hivi mtu utakayemlipa mshahara mkubwa, then utafute mwingine muda mfupi ujao?
Kwa unavyoiona arsenal hii, unadhani ni eneo gani linahitaji mabadiliko ya haraka zaidi....?
Hawa ni wa mbadala mfupi tu.... Nadhani target yetu kubwa ilikuwa ni upemacano japo naona Leipzig wanakaza...Ni kweli kwamba beki ni tatizo, probably na kiungo pia.
Lakini sioni kama Boateng ni mtu sahihi kwa Arsenal ya ushindani, imagine Bayern wako tayari kumwachia bure. Sasa mchezaji wa bure anatakiwa aje kuwa backup na siyo tegemezi.
Hawa ni wa mbadala mfupi tu.... Nadhani target yetu kubwa ilikuwa ni upemacano japo naona Leipzig wanakaza...
Nikawaida kipind cha usajiri , siunaona hata Chelsea wana hela mkononi lkn had sasa hawajavuta hata MTU, usajiri huwa una mambo mengi
Tetesi hazikwepeki
Ni backup tu, maana Arsenal wao target yao kubwa ni Dayot upemacano na Leipzig wamekaza sanaArsenal kujihusisha na usajili wa mtu ambaye yuko washed out ni dalili za kwamba mmekubali kuwa midtable team.
Umesema kweliTusimdharau Leeds.... Ndio mbabe kule championship...