Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Dinos will be sold soon, he is injury prone
 
Hujielewi wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo hiyo unaetukana watu hapa tena matusi ya nguoni wewe ndio unajielewa!... Hebu jaribu kuwa mstaarabu, kwa kutambua thamani ya utu wa binadamu mwenzako!. Yaani ushabiki tu wa mpira usababishe matusi makubwa hivi toka kwako!.. Hebu jifunzeni kuwa na tunu ya upendo na hakika tutabarikiwa sana... Karibu tujumuike pamoja katika Sabato takatifu ya leo!.. TUBARIKIWE SOTE HUMU NDANI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SHDA YA ARSENAL NI HII TETESI TETESI MWEZI UNAISHA KIMYA KINAPITA KAMA HATUTASAJILI WACHEZAJI MWEZI HUU NA TUKAENDELEA KUBAKI NA VITOTO HIVI BILA KUWAPELEKA KWA MKOPO BASI MASHABIKI HUKO ULAYA WAKIENDELEA KWENDA UWANJANI WATAKUWA WAPUMBAVU MAANA BODI WAO WANAKULA RAHA NA PESA ZA MASHABIKI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie mnavyoita wenzenu nyumbu huwa mnasifia au mnatukana
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Brazil wachezaji hawaishi, halafu ni vipaji sasa, yaani ukilegeza tu unakalishwa benchi.
 
Safi sana kwa hekima na ushauri wako

Nikutakie sabato njema , Karibu Siku moja tusali wote Hapa Ubungo hill
 
Lucas Torreira kapokonya mipira mingi ndani ya michezo 3 Tofaut na alivyofanya ndani ya michezo 10 akiwa na muhindi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…