milangomitatu
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 1,469
- 1,167
Hata Mimi nashangaa sana unabaki na willock Nelson Smith halafu unamtoa Miki kwa mkopo?dah akili ya viongozi wa Arsenal bana najua sasa hivi mavi yao yanagonga Chupi sababu ya kupenda kupuuzia vitu serious kama hivi wanaona sasa kumbe kushuka Daraja kunawezekanaKimsingi mechi ya leo ni ngumu sana!.. Kitu kinachonipa matumaini ni kuwa kocha keshaanza kuibadili timu japo hatujaanza kupata ushindi!.. Hebu fikiria timu haina full backs (wote majeruhi), mabeki wa kati wanafungisha ovyo bila sababu, Chambers, holding majeruhi.. Yaani saka anacheza namba tatu!.. Mechi ya leo naamini tutapigana sana.. Lakini napenda kuwaasa ndugu zangu wana Arsenal kama tukifungwa leo tusikate tamaa na kuanza kumlaumu kocha!.. Wote ni mashahidi mechi iliyopita tulicheza vizuri na viwango vya wachezaji Ozil vimeanza kuboreka, sema kuna mapopoma siku ile walituharibia ushindi wetu na kitupa majonzi tele!.. Leo natumaini tutakipiga vizuri kabisa na kuna uwezekano mkubwa wa kushinda hii mechi kama tutadominate mpira, lakini pia tunaweza tushishinde kutokana na full backs wetu wote watatu kuwa majeruhi na centre backs wawili pia kuwa majeruhi.. Kea hiyo tukifungwa tusikate tamaa!.. Hebu fikiria kocha amepokea timu toka kwa yule popoma aliyemuuza Ramsey na kutultea balaa pale kati!.. Kiukweli kitendo cha kumuuza Ramsey na kumpeleja Miki kwa kumkopo kimesababisha timu isiwe na balance kabisa.. Mimi bado naamini Miki ni mchezaji mzuri ambaye anaweza kutusaidia ukilinganisha na hawa waliopo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahyo mshazoea routine yenu au sio. Wachezaji kuja na kuondoka zao kutafuta mafanikio kwengine?Hilo hatuwazii, Akienda tunashusha kifaa kingine, kama Sanchez thn tukashusha Auba.
Sent using Jamii Forums mobile app
bro em jipe likizo ndefu, kufatilia arsenal.Leo ndo leo akikaa Kati MATTEO G tutakula tena mvua kama kawaida yetu sisi wazee wa sare na Vipigo tusijipe Matumaini mechi ya Leo hata juzi nilisema humu kwa sasa tupotupo tu hatujui tunachokitaka sisi mashabiki wa Arsenal huwa tunapenda sana KUJIPA MATUMAINI ila Leo naona wote tupo neutral hili ndilo linalotakiwa kwa sasa sababu hatuna timu ya Viwango ya kushindana na wakubwa zetu kwa sasa
Niwe mkweli sababu sitaki stress mechi ya leo Arsenal nampa 40 % Manchester 60 % kushinda ila lolote linaweza kutokea katika Mpira wa Miguu
MIMI NINA MIAKA 20 NAISHABIKIA ARSENAL YANGU ILA NKIONGEA UKWELI NAONEKANA SIO SHABIKI WA DAMU ILA UKWELI UNAKUWEKA HURU SANA NA NDO ITIKADI YANGU KATIKA MAISHA YANGU BINAFSI PIA HAITAKIWI KUFICHA UKWELI KAMWE
COYG !! HAPPY NEW YEAR TO YOU ALL
Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseeeeehhhh....hongeraLeo ndo leo akikaa Kati MATTEO G tutakula tena mvua kama kawaida yetu sisi wazee wa sare na Vipigo tusijipe Matumaini mechi ya Leo hata juzi nilisema humu kwa sasa tupotupo tu hatujui tunachokitaka sisi mashabiki wa Arsenal huwa tunapenda sana KUJIPA MATUMAINI ila Leo naona wote tupo neutral hili ndilo linalotakiwa kwa sasa sababu hatuna timu ya Viwango ya kushindana na wakubwa zetu kwa sasa
Niwe mkweli sababu sitaki stress mechi ya leo Arsenal nampa 40 % Manchester 60 % kushinda ila lolote linaweza kutokea katika Mpira wa Miguu
MIMI NINA MIAKA 20 NAISHABIKIA ARSENAL YANGU ILA NKIONGEA UKWELI NAONEKANA SIO SHABIKI WA DAMU ILA UKWELI UNAKUWEKA HURU SANA NA NDO ITIKADI YANGU KATIKA MAISHA YANGU BINAFSI PIA HAITAKIWI KUFICHA UKWELI KAMWE
COYG !! HAPPY NEW YEAR TO YOU ALL
Sent using Jamii Forums mobile app
Timu ambazo Wachezji hawawazi kuondoka ni Madrid Na Barca tu.Now you know.Kwahyo mshazoea routine yenu au sio. Wachezaji kuja na kuondoka zao kutafuta mafanikio kwengine?
Sent using Jamii Forums mobile app
chelsea mechi ya arsenal alibebwa na refa na makosa ya wachezaji wetu.Mbona Brighton anampa shda Chelsea na ni timu ya kawaida tu!! Sisi juzi tulishindwa nini na tunajijua ni TIMU KUBWA?MPAKA CHELSEA AKATUZIDI KILA KITU?NDO MAANA KWA SASA NAONA SISI ARSENAL NI TIMU NDOGO TU YA KAWAIDA ILA JINA LINATUBEBA NA TUNALOJIDAI NALO WAKATI KIUHALISIA NI KAJITIMU CHA KAWAIDA
TUKISHINDA DHIDI YA MANCHESTER UNITED NA CRYSTAL PALACE AWAY ANGALAU NTAPUNGUZA KUSEMA UKWELI
Sent using Jamii Forums mobile app
SawasawaKimsingi mechi ya leo ni ngumu sana!.. Kitu kinachonipa matumaini ni kuwa kocha keshaanza kuibadili timu japo hatujaanza kupata ushindi!.. Hebu fikiria timu haina full backs (wote majeruhi), mabeki wa kati wanafungisha ovyo bila sababu, Chambers, holding majeruhi.. Yaani saka anacheza namba tatu!.. Mechi ya leo naamini tutapigana sana.. Lakini napenda kuwaasa ndugu zangu wana Arsenal kama tukifungwa leo tusikate tamaa na kuanza kumlaumu kocha!.. Wote ni mashahidi mechi iliyopita tulicheza vizuri na viwango vya wachezaji Ozil vimeanza kuboreka, sema kuna mapopoma siku ile walituharibia ushindi wetu na kitupa majonzi tele!.. Leo natumaini tutakipiga vizuri kabisa na kuna uwezekano mkubwa wa kushinda hii mechi kama tutadominate mpira, lakini pia tunaweza tushishinde kutokana na full backs wetu wote watatu kuwa majeruhi na centre backs wawili pia kuwa majeruhi.. Kea hiyo tukifungwa tusikate tamaa!.. Hebu fikiria kocha amepokea timu toka kwa yule popoma aliyemuuza Ramsey na kutultea balaa pale kati!.. Kiukweli kitendo cha kumuuza Ramsey na kumpeleja Miki kwa kumkopo kimesababisha timu isiwe na balance kabisa.. Mimi bado naamini Miki ni mchezaji mzuri ambaye anaweza kutusaidia ukilinganisha na hawa waliopo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ushabiki huuwezi,nyie ndio mnaojinyonga hakika.....Mbona Brighton anampa shda Chelsea na ni timu ya kawaida tu!! Sisi juzi tulishindwa nini na tunajijua ni TIMU KUBWA?MPAKA CHELSEA AKATUZIDI KILA KITU?NDO MAANA KWA SASA NAONA SISI ARSENAL NI TIMU NDOGO TU YA KAWAIDA ILA JINA LINATUBEBA NA TUNALOJIDAI NALO WAKATI KIUHALISIA NI KAJITIMU CHA KAWAIDA
TUKISHINDA DHIDI YA MANCHESTER UNITED NA CRYSTAL PALACE AWAY ANGALAU NTAPUNGUZA KUSEMA UKWELI
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kwani naongea uongo?shda yako unataka niweke POSITIVE kwenye sehemu ambayo ni NEGATIVE Mimi kwangu uongo mwiko kabisa!!!bro em jipe likizo ndefu, kufatilia arsenal.
hunaga mawazo chanya, muda wote unawazia arsenal matokeo hasii tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ambaye nasema ukweli usingizi siwezi kukosa na hata mechi Leo siangalii sababu jana nimekesha kusubiri Mwaka hvyo siwezi poteza mechi ambayo kimsingi Arsenal kushinda ni 40% wewe angalia game yetu halafu utanipa MatokeoWewe ushabiki huuwezi,nyie ndio mnaojinyonga hakika.....
Sasa hivyo tu unabwabwaja namna hiyo na unaonekana wazi hata kula huli,usingizi hupati vizuri unaweweseka naamini timu ikishuka daraja utahama hapo unapoishi...
Au ukajinyonga kabisa...
Isitoshe nahisi ushabadilisha njia uliyokuwa unapita sababu wanakutania sana....
Wakati wenzio ndio kwanza tunavaa uzi wa Arsenal kwa kujiamini kabisa....hapa nilipo nimeitinga ile DREAMCAST nasubr game ....
Nyie ndio mnakimbia kaya kisa mzee kachalala.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru kukuona tena hapa #fanmate wanguUpamecano seems more likely than Rabiot this transfer window #afc #arsenal