Hakuna kocha bado Arsenal inahitaji kocha sio kocha wa majaribio na awe na experience kubwa kwa sasa tuna mtu wa kusimamia mazoezi tu na huyo kocha akija apewe fungu la maana Arsenal ina wachezaji 4 tu first eleven basi wengine hata Norwich na Watford hawapati namba
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe Jana ulipobondwa ulitokea?Saiz unabwabwaja Ukipigwa hutokei namna hii
Kama saiz haupo kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Atapewa hakuna tatizoHata Arteta akija bado tatizo lipo palepale hakuna beki labda wampe fungu la kutosha afanye usajili wa maana
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha aje aanze na new project , atasajiri na kujenga timu yakeMi naona Arteta asiende ARSENAL bali PEP arudi Barcelona amuachie Arteta man city. Pale ARSENAL ataazirika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha aje aanze na new project , atasajiri na kujenga timu yake
Mbona klopp aliikuta Liverpool dhohofu, anaanza na project yake baada ya muda anafanikiwa ,
Cha muhimu aoneshe dalili, sio kama emery hata dalili alikuwa hana
Arteta has learnt from two of the best managers of the last 20 years in Pep Guardiola and Arsene Wenger. He's passionate. Former Gunner. Young. Wants to play attractive football. Hope all our fans get behind him for at least 18 months!
Kwa sasa Wenger na Unai ni makocha wazuri mliopata, ila tatizo ni falsafa ya mabossNa kunataarifa zinasema Arteta alikuwa kipaumbele kuja Arsenal baada ya wenger ila shida aliwambia mkinipa chance pia mnipe mpunga wa kusajiri. Huku Emery yeye alionekana ana elements za wenger kukuza kikosi cha pili
Sent using Jamii Forums mobile app