milangomitatu
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 1,469
- 1,167
Sijui kama tutachomokaTimu yangu Arsenal naiombea ushindi mnono leo.
We are the Gunners
Hii kauli yangu naona kocha hajaizingatia tuzidi kusali huwezi kutaka kucheza Mpira na Guardiola kamweLeo ni kukaba tu kufunga ni Majaliwa ila tukitaka na sisi kucheza Mpira na timu yetu hii yenye beki za kikekike tutapata humiliation
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mimi nawaombeeni ushindi ... tatizo vichezaji vyenu vinacheza kama vitumbili vinafukuzwa na chui...Timu yangu Arsenal naiombea ushindi mnono leo.
We are the Gunners