Enlightenment
JF-Expert Member
- Apr 19, 2018
- 1,321
- 3,307
Daaah tumefikia huko mkuu, kusubiri kocha atimuliwe ndio tumchukue?Carlo Ancelloti sacked, now available for arsenal job
Wanaokwenda Europe ni wale walioshika nafasi ya tatu Uefa so Genk na wengine walioshika nafasi ya 4 ndo imetoka hivyoTumewaletea Ajax, Soulzbarg, Genk, Lile, Inter Milan, na wengine wa kushato ..iyo Europa sidhan kama robo mtafika..
Sasa suala la Poch hulijui mkuu?alishasema hawezi kufundisha vilabu viwili duniani Barcelona na Arsenal.....na sababu zake aliziweka waziKwa Ancelotti mtaangukia pua hakika. Pochetino ndio chaguo sahihi kuisuka na kuijenga Arsenal iwe timu shindani zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya ndio mambo mzeebaba.
Kabisa, huyu tungeendelea naye tuI am a mere arsenal fan, kila mtu na mapenzi yake, nadhani wangempa muda Ljunberg, ni mtu ambaye inaelekea wachezaji wanampenda kama ilivyo kwa liverpool.
Upo sahihiKwa Ancelotti mtaangukia pua hakika. Pochetino ndio chaguo sahihi kuisuka na kuijenga Arsenal iwe timu shindani zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uongoz upo makini sanaKwa Carlo nadhani tutaangukia pia kabisa. Ni heri tungebaki na Freddie kwa kweli...
Maneno tu hayo,Sasa suala la Poch hulijui mkuu?alishasema hawezi kufundisha vilabu viwili duniani Barcelona na Arsenal.....na sababu zake aliziweka wazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mm napenda aachiwe timu, kwanza ameshaanza kurudisha mpira wetu, Bodi iachane na kutafuta makocha ,watatuvuruga tenaI am a mere arsenal fan, kila mtu na mapenzi yake, nadhani wangempa muda Ljunberg, ni mtu ambaye inaelekea wachezaji wanampenda kama ilivyo kwa liverpool.
Hakika mkuu!.. Huyu Freddy kama kuna kitu nakiona kwakeHata mm napenda aachiwe timu, kwanza ameshaanza kurudisha mpira wetu, Bodi iachane na kutafuta makocha ,watatuvuruga tena
Hata mm napenda aachiwe timu, kwanza ameshaanza kurudisha mpira wetu, Bodi iachane na kutafuta makocha ,watatuvuruga tena
Hata mm napenda aachiwe timu, kwanza ameshaanza kurudisha mpira wetu, Bodi iachane na kutafuta makocha ,watatuvuruga tena
Unalolisema ni sahihi kabisa ila kwa upumbavu wa bodi ya timu yetu endapo Freddie akikabidhiwa timu hawatatoa fungu la maana na usajiri,watachukulia poa.Hata mm napenda aachiwe timu, kwanza ameshaanza kurudisha mpira wetu, Bodi iachane na kutafuta makocha ,watatuvuruga tena
Hawa waongo ,Leo ni back 3