Nakubaliana na wewe na ntashangaa nkimuona first 11 leoHuyu mtoto bado sana ,
Na ndiye anaicost sana midfield yetu
Mwaka wa pili huu ana assist 1 kama sikosei ,
Ana mapungufu mengi sana , bado hatakiwi kuanza mbele ya kina toreira. Xhaka na ceballos
Mnatumia nguvu kubwa bure umo hamnamo mchezaji daraja LA Arsenal
DM Torreira offensively yuko njema pamoja na kucheza kiungo mkabaji Alitupia Goli muhimu za kuipa matokeo Team
Defensively yuko njema haya Mateo last season kamaliza hana hata assist
msimu huuu ndio kaipata moja
Kiukweli tukiacha ushabiki, huyu mtoto bado sana kuingia kikosi cha kwanza ,inabid waanze kaka zake ,yeye atokee bench hasa mech tukiwa tumeikamata .
Na kweli, we si unasikia Zahera anavyopiga domo??!! Linganisha na beberu aliyetimuliwa Simba, vitu viwili tofauti.Wazungu ni waungwana sana
Inasemekana levy kamlipa £20m ila kuna kipengere aliweka mwaka huu wakat anamsainisha , iwapo timu itamtaka poch ilipe £12.5m ,ila kuna muda maalumu hicho kipengere kita expirePochettino ndio alipe au timu inayomtaka ndio italipa?
Na ndio ninachokiona ,Freddie akiperform vizuri hakuna mtu wa kumuondoa, akifeli bora twende Kwa Brendan Rogers.
Tukutane saa kumi na moja bro. Wewe unadhani na ubora wote ule wa viungo walionao France ila kaitwa yeye ni mchezo?Huyu mtoto bado sana ,
Na ndiye anaicost sana midfield yetu
Mwaka wa pili huu ana assist 1 kama sikosei ,
Ana mapungufu mengi sana , bado hatakiwi kuanza mbele ya kina toreira. Xhaka na ceballos
Mnatumia nguvu kubwa bure umo hamnamo mchezaji daraja LA Arsenal
DM Torreira offensively yuko njema pamoja na kucheza kiungo mkabaji Alitupia Goli muhimu za kuipa matokeo Team
Defensively yuko njema haya Mateo last season kamaliza hana hata assist
msimu huuu ndio kaipata moja
Kiukweli tukiacha ushabiki, huyu mtoto bado sana kuingia kikosi cha kwanza ,inabid waanze kaka zake ,yeye atokee bench hasa mech tukiwa tumeikamata .
Anaitwa lkn umeona anacheza?Tukutane saa kumi na moja bro. Wewe unadhani na ubora wote ule wa viungo walionao France ila kaitwa yeye ni mchezo?
Pound 20m ni kwa wote yeye plus his coaching staff, yeye kachukua 12.5mInasemekana levy kamlipa £20m ila kuna kipengere aliweka mwaka huu wakat anamsainisha , iwapo timu itamtaka poch ilipe £12.5m ,ila kuna muda maalumu hicho kipengere kita expire
Tuko uwanjani leo :Norwich
Carrow Road
Saa 17:00 EAT
EPL 14/38
Paul Tierney
#coygView attachment 1278158