Hivi kati ya Arsenal na Man u ni timu ipi ina wachezaji bora kwa sasa?
Nadhani Arsenal inapoelekea itakuwa kama man u, kununua wachezaji wenye gharama ambao hawana mchango wowote.
Kukwepa huo mtego Plan B ni kumchukua pochetino wenye uwezo wa kujenga timu kutumia wachezaji wa Academy ila sharti lazima muwe wavumilivu.