Kwa kuwa nimeona mpira wa spurs chini ya poch. Je Mashabiki mko tayari kumvumilia pochettino miaka 4 ajenge timu kali ya kuchukua ubingwa?
Arsenal hii haiitaji miaka minne
Kitu hiki hata mou alikisema , pale nikuongeza wachezaji wachache tu eneo la back line
Alichofeli emery hadi anashindwa kuvumiliwa na mashabiki sio udhaifu wa kikosi maana kwa historia ya arsenal ndan ya miaka 10 hakuna kikosi cha gharama na chenye talent moja moja kama hiki ,
Alichofeli emery ni kushindwa kutengeneza chemistry ya timu
Kila mech anakuja na tactic na formation mpya , yeye kila mech kwake ni majaribio
Alikuta arsenal ina flow nzuri ya kucheza mpira. ,akajifanya kufumua kila kitu alichoacha mzee Wenger ,matokeo yake hata kumiliki mpira iwe home au away hawezi
Akiwa sevilla aliwahi kucheza msimu mzima bila kushinda away , hivo kinachotokea arsenal sio kigeni
Ilishaonekana wazi wazi Eneo la kiungo
Xhaka na Toreira ndio best na solid midfielder ambapo Arsenal inaonekana inaimarika
Cha ajabu Hamtaki toreira au anamchezesha out of position
Emery ni mbovu kwenye sub , mbovu kwenye eneo la defence toka akiwa Valencia ,
Kwahiyo Huyu ni kocha ambaye ni wa ovyo sana , unambiwa hata team selection inamsumbua
Vitu hivi kwa Poch hana , ana udhaifu wake lkn sio kwenye kukosa Chemistry, kukosa team selection ,