Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Niliwaambia mashabiki wenzangu ubingwa tuongelee wa Carabao nao ni baada ya kuwapita Liverpool.

Yametimia.
 
Huyu koxha kweli bwege unamtoaje tolleira na kumuingiza ceballos wakati timu haina DM na unacheza na timu kama liverpool..
 
OUUUUUUUUUTTTT, endeleeni kulaumiana kwenye vi-group vyenu huko..naona
 
Tumetoka kusuluhishwa baada ya kuongoza 2 tumekuja kusuluhishwa tukiongoza tofauti ya goli mbili.
 
yani kuna vitu vingine vya kujitakia, unai anamtoa mshehereshaji na mkabaji anaweka mgunduzi, afu mpira una badilika unashambuliwa mwanzo mwenga......duh!
 
Arsenal yangu siiamini hata tukitangulia goli 4 dhidi ya mpinzani inabidi usubiri dk 90 kuhakikisha matokeo yaani imekuwa timu dhaifu mno mno mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…